Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

Big up sugu!nimefurah kuwapa watu burudani inayotakiwa na kuwarudisha tena wasanii waliopotea.
 
Mh Sugu
Mimi ni shabiki namba moja ktk kutetea wasanii wasioelewa haki zao,sasa Mh lini utatia timu Moro MJI kasoro Bahari,ili nasi tufaidi na kununua kopi ya kitabu?
 
Wewe ni kinega?
Kwahiyo wewe ni muzeeiya!, mijitu mingine hopeless kabisa, sasa stay tune kuanzia week ijayo nitaupload video za ile concert kwenye you tube ili ujuwe kwamba wazalendo walivyoonesha mapenzi kwa wasanii wa nyumbani na halafu nitaupload video ya concert la machoko wa redio ya wafu uwone walivyofunikwa na kupata aibu jana.
 
Kama kuna yeyote aliyebahatika kuhudhuria sehemu mbili atupe dondoo fupi tu kuhusu utofauti wa ustawi na leaders kwa ujumla, dondoo iwe katika
1. Umati
2. Mpangilio
3. Ukumbi
4. Umoja
5. Kiingilio
6. Performance ya wasanii

Na mengineyo!
 
kinyama kulikuwa poa.kulikuwepo redcross,gari la fire, magari ya polisi, mabaunsa, vyakula, sikuona vinywaji vya kwenye chupa labda nilikuta vimeisha. taa za kumwaga, watu walikuwa wamechangamka, kilichonifurahisha ni kitendo cha hyness mbunge wa chadema kucheza miondoko ya hiphop bila kukosea, akishirikiana na mnyika japo mnyika alikuwa na aibu, aliyeniua ni mbowe na salamu yake ya"yooooo.....niaje yooo...!!tupo pamoja sasa nahitaji vinega wachane bila beat(freestyle)kwa lisaa1 kisha tutawanyike".mia
 
Kwenye vita ya haki ushindi ni lazima. hakuna ubishi jana mungu ameonesha kwamba yupo upande wa haki, hata madereva wa tax ilibidi wote wajae pale ustawi wa jamii maana ndiko kulikuwa na abiria.
 
Kwahiyo wewe ni muzeeiya!, mijitu mingine hopeless kabisa, sasa stay tune kuanzia week ijayo nitaupload video za ile concert kwenye you tube ili ujuwe kwamba wazalendo walivyoonesha mapenzi kwa wasanii wa nyumbani na halafu nitaupload video ya concert la machoko wa redio ya wafu uwone walivyofunikwa na kupata aibu jana.

Wewe ni kinega?
 
Wewe ni kinega?
Sisi tuliipenda redio ya wafu ila mungu ameipenda zaidi, na ipumzike kwa amani,.......

370556_100000108235651_88623403_n.jpg
 
Back
Top Bottom