Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Nadhani kama usingekuwa mwandika ujinga, ungejadili hoja ya nilichoandika!!

Lakini siwezi kushangaa...
Mkuu umekosea sana, hao viongozi wetu hawana uwezo basi tu. Wanadanganya kila kitu. Kwa mwaka mzima ni lazima maji yapungue hasa msimu ambao mvua hazipo lakini haiwezi kuwa sababu ya kukatika kwa umeme wala kukosekana kwa maji. Na hii evidence tumeiona kuanzia mwaka 2015 Hadi 2021 Mwezi wa kumi. Ni range ya miaka mitano. Hiyo probability haiwezi kubadirika kwasababu katika hiyo miaka mitano kuna misimu hapo maji yalikua yanapungua lakini hatukuona umeme wala maji yakikatika.
Hata tukisema tufanye utafiti kwa kutumia data za Tanesco tutagundua kabisa hii model haiwezi kubadilika kwa jinsi tulivyokua tumejipanga na tulivyokua tunaendelea. 🤪🤪🤪🤪🤪Nadhani umenielewa nini namaanisha. Kuna vitu vya kutetea ila sio swala la umeme na maji na ukizingatia joto limeongezeka. Joto likiongezeka rafiki yetu ni maji na umeme.
 
kama uliendesha gari lako bila service kuna siku litakuzimikia barabarani - ndiyo hivi sasa !! tulia ukweli uzungumzwe. Makamba na Tanesco wapo sahihi, miaka 5 no service ya mitambo unategemea nini hapo? washa, washaa, washa sasa matokeo yake ndiyo haya.
Umesoma taarifa mpya? Au Makamba ni shemeji yako
 
NIMEKUAMBIA NI WEWE NA MISUKULE WENZAKO...

We jamaa vp?

Huelewi, ama?!

Kama hujui jinsi ya kutafuta threads that's your problem, tena stop wasting my time na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ambayo hata ukijibiwa, unauliza tena kitu kile over and over!!!
Mradi wa Bagamoyo kuupigia domo wewe, mradi wa Gas kuupigia domo wewe, naamini nawe utakuwa msukule wa hao waliokutuma.
 
Sababu za kipuuzi kabisa kutolewa na huyu tapeli.

Zitto anasema Samia amefungua nchi ndio maana matumizi ya umeme yameongezeka, kwani toka Magufuli afariki wameshajenga viwanda vipya vingapi?

Au anamaanisha Samia anavyosafiri kwenda nje kila siku ndio anaongeza matumizi ya umeme?

Halafu kuna vibaraka wanaojiona wajuaji kweli wana support huu utapeli wa hawa watu, tujiandae kupigwa muda sio mrefu
 
Nadhani hatimae watu ndo wataelewa...

It's just last week nimehoji mara kadhaa hapa, kama sio 57% ya umeme unaotokana na gesi, nchi ingekuwa katika hali gani wakati umeme wa maji ni ONLY around 36%?!

Kiukame kidogo tu, tushaanza kutafutana...

Huku Misukule ikikazana kwamba, kwavile kuna Bwawa la Nyerere linajengwa basi ku-explore vyanzo vingine vya umeme ni kutaka kumhujumu JPM ili ionekane Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai!!

Tuna taifa lenye viumbe wa ajabu sana...
Wapambe wa January naona hamlali. Zitto utafikiri ni waziri wa nishati au ni waziri kwenye serikali. Huu jamaa ni hatari mno. Ameshasau mengine yote. Ni wakati wake wa kula mavuno sasa.
 
Umesoma taarifa mpya? Au Makamba ni shemeji yako
Hapa kuna pamde mbili - Tanesco wakati wa mwendazake na Tanesco ya Maza....wote kuaminika kwa statement zenu ni ngumu maana CCM ni walewale ila kwa mbali walau hoja za Makamba zinaleta mantiki.
 
Hili lilikuwa halikwepeki na ni suala la muda. Sio kila jambo ni la kupindisha ama kufichaficha.Umeme ni ishu sensitive kwa uchumi wa nchi na halihitaji mzaa hata kidogo kama tuko serious na mambo.
 
Kwa Hali ya ukame unaoendelea kwa sasa, ni dhahili TANESCO na Serikali waseme tu ukweli kuwa uzalishaji umeme kwa Sasa hauendani na mahitaji halisi ya umeme nchini.

Mficha maradhi, kifo kitamuumbuwa
Naipongeza TANESCO Kupokea ushauri wangu
 
Mkuu umekosea sana, hao viongozi wetu hawana uwezo basi tu. Wanadanganya kila kitu. Kwa mwaka mzima ni lazima maji yapungue hasa msimu ambao mvua hazipo lakini haiwezi kuwa sababu ya kukatika kwa umeme wala kukosekana kwa maji. Na hii evidence tumeiona kuanzia mwaka 2015 Hadi 2021 Mwezi wa kumi. Ni range ya miaka mitano. Hiyo probability haiwezi kubadirika kwasababu katika hiyo miaka mitano kuna misimu hapo maji yalikua yanapungua lakini hatukuona umeme wala maji yakikatika.
Kwahiyo unataka kusema from 2015 (bila shaka unataka kumaanisha from December 2015) to early 2021, yaani zama za Shujaa... Tanzania hapakuwa na matatizo ya umeme, sio?!

Hivi nyie watu wakati huo mlikuwa mnaishi Tanzania au ndo ile ya kusifia kila kitu?

Hebu tuangalie kwa kwa haraka haraka tu---

Umeme 1.png

Fuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!

Nyuzi nyingine....

1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021

Kwahiyo tafuteni wa kuwaeleza hizo porojo zenu kwamba wakati wa JPM hapakuwa na matatizo ya umeme!! Na hapo nimechukua kipindi kifupi tu!!
Hata tukisema tufanye utafiti kwa kutumia data za Tanesco tutagundua kabisa hii model haiwezi kubadilika kwa jinsi tulivyokua tumejipanga na tulivyokua tunaendelea. 🤪🤪🤪🤪🤪
Tulikuwa tumejipanga kwa lipi?!

Kuanzia 2015 hadi 2021 ni mradi upi mpya wa umeme ulioanzishwa na kuwa operational ukiacha Kinyerezi I and Kinyerezi tu ambayo ilikuwepo kabla ya 2016?
Nadhani umenielewa nini namaanisha. Kuna vitu vya kutetea ila sio swala la umeme na maji na ukizingatia joto limeongezeka. Joto likiongezeka rafiki yetu ni maji na umeme.
Wewe ndo unatakiwa kunielewa...

Serikali iliingia gharama kubwa kujenga bomba kutoka Mtwara hadi Kinyerezi

Watu ilikuwa tukihoji how come tunakimbilia miradi mingine wakati tulishaingia gharama za kujenga bomba, na gesi tayari ipo... Praise Team wenyewe mnajua mlichokuwa mnafanya!

Mbali na 7.5 Trillion Cubic Feet from Songosongo (2.5 TCF) na Msimbati (5 TCF), kuna zingine almost 50 Trillion Cubic Feet of gas HAZIJAGUSWA...

Sasa huko kujipanga unakosema tulijipanga ni kupi?!

Huko kwa kuanzisha mradi upya wa Bwawa la Nyerere ili uonekane umeweza miradi ambayo wengine walishindwa wakati tayari kuna gas ya Msimbati ilishajengwa bomba, na kazi ambayo ilibaki ni kujenga just power plants?

Angalia ule mradi wa Kinyerezi II ambao JPM alikuta umeshasainiwa, naye akaanza kuujenga tu! By 2015 tayari mradi ulikuwa umeshakamilika! Ulishawahi kujiuliza kama tungeelekeza priority pale Kinyerezi penye Kinyerezi I na II, hivi sasa tungekuwa na Kinyerezi ngapi?!

Angalia hata ile gesi ya deep sea ambayo haijaanza kuchimbwa, na kwavile nawe nimeshawahi kuona ukiandika kuhusu gas though una matatizo ya mahaba... je, ulishajiuliza nguvu ambazo Magu aliziweka kwenye madini ndo ingekuwa ameziweka kwenye gesi, hivi sasa tungekuwa wapi?!

Matokeo yake, tukakimbilia kwenye Bwawa la Nyerere ambalo tunalazimika kuhangaika kutafuta pesa wakati gas industry tayari kuna wenye pesa zao waliokuwa wanasubiria tu green light, shughuli za uchimbaji zianze!!

Matokeo yake, "oh... gesi yote imeuzwa" na Praise Team wanapiga makofi! Fikisheni basi mahakamani hao waliouza hiyo gesi, hakuna hata mmoja aliyefikishwa japo kwa Mjumbe wa Nyumba 10 let alone mahakamani!!

Mkurugenzi wa TPDC, James Mataragio nae akatumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi... Praise Team mkapiga makofi!

Baada ya muda, Mataragio akarudishwa kwenye nafasi yake ile ile... tena mkapiga makofi!!

Sasa hao waliouza hiyo gesi ni akina nani?! Cha ajabu, wakati wanadanganya wananchi kwamba gesi yote imeuzwa ili wahalalishe ujenzi wa Bwawa la Nyerere, behind the curtain wanaendelea mazungumzo na kampuni zilizotaka kujenga Kiwanda cha Usindikaji Gesi pale Lindi...

Hapo ndipo mtu unajiuliza, kama gesi yote ilishauzwa, sasa haya mazungumzo ni ya nini tena!!
 
Kwahiyo unataka kusema from 2015 (bila shaka unataka kumaanisha from December 2015) to early 2021, yaani zama za Shujaa... Tanzania hapakuwa na matatizo ya umeme, sio?!

Hivi nyie watu wakati huo mlikuwa mnaishi Tanzania au ndo ile ya kusifia kila kitu?

Hebu tuangalie kwa kwa haraka haraka tu---

View attachment 2015547

Fuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!

Nyuzi nyingine....

1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021

Kwahiyo tafuteni wa kuwaeleza hizo porojo zenu kwamba wakati wa JPM hapakuwa na matatizo ya umeme!! Na hapo nimechukua kipindi kifupi tu!!

Tulikuwa tumejipanga kwa lipi?!

Kuanzia 2015 hadi 2021 ni mradi upi mpya wa umeme ulioanzishwa na kuwa operational ukiacha Kinyerezi I and Kinyerezi tu ambayo ilikuwepo kabla ya 2016?

Wewe ndo unatakiwa kunielewa...

Serikali iliingia gharama kubwa kujenga bomba kutoka Mtwara hadi Kinyerezi

Watu ilikuwa tukihoji how come tunakimbilia miradi mingine wakati tulishaingia gharama za kujenga bomba, na gesi tayari ipo... Praise Team wenyewe mnajua mlichokuwa mnafanya!

Mbali na 7.5 Trillion Cubic Feet from Songosongo (2.5 TCF) na Msimbati (5 TCF), kuna zingine almost 50 Trillion Cubic Feet of gas HAZIJAGUSWA...

Sasa huko kujipanga unakosema tulijipanga ni kupi?!

Huko kwa kuanzisha mradi upya wa Bwawa la Nyerere ili uonekane umeweza miradi ambayo wengine walishindwa wakati tayari kuna gas ya Msimbati ilishajengwa bomba, na kazi ambayo ilibaki ni kujenga just power plants?

Angalia ule mradi wa Kinyerezi II ambao JPM alikuta umeshasainiwa, naye akaanza kuujenga tu! By 2015 tayari mradi ulikuwa umeshakamilika! Ulishawahi kujiuliza kama tungeelekeza priority pale Kinyerezi penye Kinyerezi I na II, hivi sasa tungekuwa na Kinyerezi ngapi?!

Angalia hata ile gesi ya deep sea ambayo haijaanza kuchimbwa, na kwavile nawe nimeshawahi kuona ukiandika kuhusu gas though una matatizo ya mahaba... je, ulishajiuliza nguvu ambazo Magu aliziweka kwenye madini ndo ingekuwa ameziweka kwenye gesi, hivi sasa tungekuwa wapi?!

Matokeo yake, tukakimbilia kwenye Bwawa la Nyerere ambalo tunalazimika kuhangaika kutafuta pesa wakati gas industry tayari kuna wenye pesa zao waliokuwa wanasubiria tu green light, shughuli za uchimbaji zianze!!

Matokeo yake, "oh... gesi yote imeuzwa" na Praise Team wanapiga makofi! Fikisheni basi mahakamani hao waliouza hiyo gesi, hakuna hata mmoja aliyefikishwa japo kwa Mjumbe wa Nyumba 10 let alone mahakamani!!

Mkurugenzi wa TPDC, James Mataragio nae akatumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi... Praise Team mkapiga makofi!

Baada ya muda, Mataragio akarudishwa kwenye nafasi yake ile ile... tena mkapiga makofi!!

Sasa hao waliouza hiyo gesi ni akina nani?! Cha ajabu, wakati wanadanganya wananchi kwamba gesi yote imeuzwa ili wahalalishe ujenzi wa Bwawa la Nyerere, behind the curtain wanaendelea mazungumzo na kampuni zilizotaka kujenga Kiwanda cha Usindikaji Gesi pale Lindi...

Hapo ndipo mtu unajiuliza, kama gesi yote ilishauzwa, sasa haya mazungumzo ni ya nini tena!!
mkuu achana na mambo ya nadharia za kisiasa jikite kuelezea vitu vyako unavyovielewa wewe.
 
Back
Top Bottom