Nadhani kama usingekuwa mwandika ujinga, ungejadili hoja ya nilichoandika!!acha ijinga mkuu
Lakini siwezi kushangaa...
Nadhani kama usingekuwa mwandika ujinga, ungejadili hoja ya nilichoandika!!acha ijinga mkuu
Hao wote waliokuwa wakisema hivyo ni wajinga, wapumbavu na washenzi wakubwa...Haya yale mataahira yaliyokuwa yanasema sukuma gang wanamuonea wivu Makamba waje sasa
Kwa hili nakubaliana na wewe...heads have to roll...Waziri mkuu na waziri wa Nishati wajiuzulu, mbona Kenya umeme haukatiki
Nakubaliana na wewe....Magufuli mwingine anahitajika haraka Sana...hata Kama ni Mama yetu anapaswa sasa kuiongoza nchi Kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli....huyo Januari aondolewe haraka kwenye nafasi hiyo ya uwaziri..Fanyeni biashara ya majenereta si ndicho mlichokuwa mnakitaka na kukitafutiza?
RIP Magufuli....
Tunamtaka Magufuli mwingine fasta.
Nimemdharau sana Zitto zamani nilijua wanamuonea na kweli ana udini ndani yakeZitto ni ajenti wa wanaompinga JPM ndio maana kila jambo yeye anatafuta mwanya wa kumlaumu JPM. Eti hakukuwa na jitihada ya kuongeza uzalishaji wa umeme kwani Mradi wa JNHP Rufiji ni nini hicho kinachofanyika? Mpango wa JPM ule mradi ungeanza kujazwa maji lini?
Hata kama mtu anakodiwa kumchafua JPM awe na aibu. JPM sio saizi yako Zitto. Wewe ganga njaa na umamluki wako. Mkataba wa juzi wa India mbona umekaa kimya wakati mabilioni yatalipwa kifisadi.
Lengo tununue umeme, zingine ni porojo tu. Hiko kina cha maji kupungua ni propaganda tu ndio maana unaona alichosema makamba na walichosema Tanesco ni tofautiTuliambiwa umeme ulikuwa haukatiki wakati wa Magufuli kwasababu ya ukali wake, watu waliogopa kutumbuliwa, sasa kama hiyo ndio dawa kwanini na yeye Makamba asiwe mkali?
Habari ya vyanzo vya umeme mnazoleta hapa ni utapeli mtupu, na hayo majibu ya Zitto huko twitter nayo ni siasa tupu, nani atamuamini huyo tapeli na genge lake haramu lililoshika hatamu.
Tunesharudishwa kwa zama za wapigaji na Zitto ndie mpiga kinanda wao, ametoa sababu cheap sana kwenye hiyo acc ya twitter yakeLengo tununue umeme, zingine ni porojo tu. Hiko kina cha maji kupungua ni propaganda tu ndio maana unaona alichosema makamba na walichosema Tanesco ni tofauti
Nioneshe ni kina nani wanapinga?Nilishakuambia wanaosema hivyo ni MISUKULE WENZAKO
Na siwezi kupoteza muda eti kukutafutia threads wakati kila mwenye akili timamu anafahamu ni jinsi gani MISUKULE YA JPM inavyopinga uwekezaji kwenye gas, na hawana hoja ya msingi zaidi ya eti inalenga kuhujumu Bwawa la Nyerere
What a pitty!
Tatizo lako unafikiri kila mtu ni bi mdogo wa mtu kama ulivyo wewe.Sawa bi mdogo wa marehemu!
Hapo ndo utaona uhayawani wa mama yetu yaani anamtoa waziri kisa eti ufendaji mbovu anamrudisha makamaba kwa utendaji mbovu zaidi mbona kituko cha mwakaWaswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Mamaaaaeee zao watakuja hata kuongea tu aibu ni yaoHaya yale mataahira yaliyokuwa yanasema sukuma gang wanamuonea wivu Makamba waje sasa
Na mazuzu yatakubali kuwa eti maintenance ilisubiri mpaka miaka 5Zitto anamaanisha hayo yote yalisuburi mwendazake afe?
NIMEKUAMBIA NI WEWE NA MISUKULE WENZAKO...Nioneshe ni kina nani wanapinga?
Wewe ndio msukule mkubwa!
Bahati nzuri kila kitu kinajidhihirisha! Tunaacha nyie mataahira muda uongee na nyie
Na hao ndo mama anaambiwa ni watendajiHuyu Waziri anayevaa mashati ya mikono mirefu kisha anayakunja mpaka kwenye viwiko kama Obama, si ndiye aliyetudanganya kuwa wako kwenye "maintenance", kumbe maji hakuna, kulikuwa na sababu gani watu wazima kudanganyana hovyo?
Kuna watu tangu awamu ya 4 utendaji kazi wao ni wa kisanii sanii, uongo uongo, wizi wizi, uswahili swahili tu.
Tupo katika vita vya kiuchumi.Na TPDC nao watakiri uhaba wa Petroli.Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Yani mpaka nianze kutafuta threads kisha nianze kusoma wanaopinga kuanzishwa kwa miradi mingine?NIMEKUAMBIA NI WEWE NA MISUKULE WENZAKO...
We jamaa vp?
Huelewi, ama?!
Kama hujui jinsi ya kutafuta threads that's your problem, tena stop wasting my time na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ambayo hata ukijibiwa, unauliza tena kitu kile over and over!!!