Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Teh, mkuu Equation x hebu jisogeze huku.Mnatengeneza single mama...Mwanao akikua na kutaka kuoa single mama, utakuja juu.
Tusiishi kwa mazoea,kwavile mkeo yupo mbali ndo uchepuke...

Tatizo dogo hilo,amwandalie bajeti ndogo ya uzazi na kulea inatosha..ila asihishi na huyo binti...watoto ni hazina hapo uzeeni.Kataa maradhi ila usikatae mtotoTeh, mkuu Equation x hebu jisogeze huku.
Rudi kasome tena, inainesha ubongo wako mzito Sana kuelewa! Kilaza kweli ww, mbna Mambo rahis tu Aya hayahitaji Phd kuelewekaNimesoma yote sasa ulichomshauri hapo juu ni kipi nani amekwambia nimekurupuka naisi wewe una shida mahali jichunguze, huenda na wewe ni mdau wa hizo mambo, ushauri UPI umempa mwenzio badilika unapotokea ujinga lazima tukemee.

Ndo wale wale tu huenda waliokunywa uji wa mgonjwa unaisi ukitukana ndo utaniweza au, matusi hayaniongezei au kunipunguxia chochote maana nishajua naongea na mtu gani. Tena unashauri kifua mbele eti hays mambo Kwa Mwanaume ni kawaida unahalisha uchafuRudi kasome tena, inainesha ubongo wako mzito Sana kuelewa! Kilaza kweli ww, mbna Mambo rahis tu Aya hayahitaji Phd kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
P2 aliwahi kutumia nlimshtukia mapema ,ila hii naona kaamua kabisa kutegaMkuu umenena kwa machungu sana na unajua maana ya P2 safi nimekuelewa tamaa sio nzur ila mshaur alee tu mimba kunaraha yake bint akizaa mapema japo ni risk nyng
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo dogo hilo,amwandalie bajeti ndogo ya uzazi na kulea inatosha..ila asihishi na huyo binti...watoto ni hazina hapo uzeeni.Kataa maradhi ila usikatae mtoto
Mkuu binti wa miaka 19 ameshamaliza chuo? Au alimaliza form 4 then akasoma certificate?Wakuu salam kwenu
Poleni kwa Covid-19
Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa
Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19
Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field
Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu
Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali
Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa
Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?
Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Kwani mke umemuowa kabla au baada ya mimba?Wakuu salam kwenu

Khaa, mimi nilikuwa nakazia pale aliposema "kwa vile mkeo yuko mbali ndiyo uchepuke" ndiyo maana nikakuita maana wewe...Tatizo dogo hilo,amwandalie bajeti ndogo ya uzazi na kulea inatosha..ila asihishi na huyo binti...watoto ni hazina hapo uzeeni.Kataa maradhi ila usikatae mtoto
Mkuu si unajua protein ikijaa,inatakiwa itoke ili itengenezwe nyingine?sasa kama mwenza wako yuko mbali utafanyaje?inabidi kuangalia njia mbadala...bila kuipunguza inaathiri ubongo,ndio maana kuna wengine ni wakubwa ila wanakuwa na mambo ya kitoto hiyo inatokana na madhara ya kutokuipunguza.Khaa, mimi nilikuwa nakazia pale aliposema "kwa vile mkeo yuko mbali ndiyo uchepuke" ndiyo maana nikakuita maana wewe...
Ulikua unapanda mbegu ulitegemea zisiote?,hili pambana nalo mwenyeweWakuu salam kwenu
Poleni kwa Covid-19
Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa
Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19
Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field
Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu
Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali
Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa
Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?
Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Nimejikuta nacheka kwa sauti,eti JIWE jingineMkuu mbona hukutuomba ushauri wanajamvi ulipokua unampanua vitembeleo vyake?,,enewei msiitoe hiyo mimba yawezekana inatuletea jiwe mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app