Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

Samahani Mkuu, kipindi unamnjunja katabasam kalikuwepo usoni mwenu au mlikuwa mmenuna?

Basi hayo ndo matunda ya kale katabasam, pokea taarifa pia kwa tabasamu.

Ushauri wangu.

Asitoe Mimba. Yaweza ulikuwa ukitumia hata Nguvu za kukopa kama Alkasusu na Congo dust ili uonekane kidume, Sasa kopa benki pia ili ulee mimba na mtoto atakaezaliwa.

" Eti nilikuwa sijajiandaa". Ulikuwa hujajiandaa, mbona ulidindisha na ukachomeka bila Kinga?. Lea Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma ,na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote ,kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Mr Terminator
U have two options...

Swallow ur pride and ur dirty mipango ya kando... Get a sucker punch and raise the kid

Be an asshole, pretend like u don't care, mind ur business she will take care od herself

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua kipimo kisha mpime, kisha lea hiyo mimba uongeze single mother. Ukidate na watoto wadogo matokeo yake ni mengi, hapo unaweza kukuta kamekutega tu kaone kama una mpango wa kukaoa au kakikwambia kana mimba utasemaje. Ukute hapo kanashauriana na vyenzie wakuchoreshe mtu mzima na familia yako. Alfu wew una familia bado unatembea nje ya ndoa, watu wa namna yenu kweli siwapendi kabisa, kwa nini usiheshimu ndoa yako? kuna haja gani ya kuoa kama unaona bado unahitaji wanawake wa aina tofauti ? mnaharabu sana jamii ya wanawake ambao hawajaolewa.
 
Kama hukujipanga huu ndio muda wa kujipanga sasa..
Lea hiyo mimba tu, pengine ndio uzao pekee aliojaliwa...!
 
Malipo ni hapahapa duniani na wewe watoto wako watiliwa hivyohivyo,maji hufuata mkondo na usisahau kuleta mrejesho
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma ,na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote ,kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Ndo hivyo bro lea mimba binti azae tuu.
 
Kwani wakati unakula mzigo uliijua outcomes itakuwa ni nini sasa komaa tuu. Ngoja ajifungue mtoto copy and paste kutoka kwako. Sijui utamchinja mtoto au utafanyaje
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma ,na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote ,kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti kagoma ,na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote ,kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?
haraka haraka bila kufikiria sana nimeona huyo bint ana akili sana kukuzidi wewe, sijui unawezaje kulea hiyo familia uliyonayo mkuu!
 
Back
Top Bottom