Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

Hoooooh mpaka nimeshusha pumzi Kwa huzuni, Bora usingeleta huu uzi( upupu wako) humu Mjnga kabisa wewe, afu umejihami kabisa hapo kuwa unajua kuwa wengi watakutukana jiulize kwann? na hiii iwe mfano Kwa wengine(wenye akili kama zako)
Na Kila Siku huwa nasema Watu wengi hawajui Ndoa ni nn, Wanakurupuka na wengine hushabikia ujinga kutafuta mwenzi mtandaoni bila kumjua mtu vizuri haya ndo matokeo yake.

Sijui tu tutaishia wap kuna single mother wengi mnoo mitaani je, unajua sababu ni nn? Wewe mtoa mada kama unataka kuua kiumbe kisichokuwa na hatia, jiuwe wewe kama ni vizuri usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine.

Na kumbuka malipo ni hapa hapa Duniani mjinga mkubwa wewe.
 
Imagine una date katoto ka 19 yrs, ni aibu mnooooo, at least kama ni lazima kwako basi ungedate hata na 23,24,25 wanakuwa wamepevuka akili hata kuzuia mimba wanajuwa
Wasichana wa miaka 22 hadi 26 wengi wanashika na kutoa mimba kuliko unavyo dhania.
Tena hao haijalishi kiwango cha elimu yake, kwa mtindo wa siku hizi hakuna kutongozana kwa maneno kama zamani yaani mnakuwa karibu, mnakula bata au mnapiga stori kisha siku moja mwanaume unajilipua unamuanzishia tu kimasiala mnajikuta mmeshakulana kimasikhala masikhala bila kinga.

Kuna kizazi hapa kati ukitongoza tu na kutaka kujiandaa na kinga au kupima HIV utamaliza miaka humpati huyo msichana, labda mtaishia kwenye friend zone tu.
 
Human papillomavirus sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume, wana madhara, hasa unprotected sex
 
Mkuu upo dar kama upi dar please niunga niashe na uyo binti serious natafuta mke ww una mke na bado unatamani watoto wadogo mm sina ata wa kusingiziwa mpe namba yangu 0655073009.
 
Pole kwa changamoto mkuu (as you call yourself"janga") hiyo isijuchanganye sana kichwa, kwa wanaume wengi ni kawaida na unatokea Sana tu kuchepuka hasa mwenzi wako anapokua mbali, Cha msingi jidhihirishe Kwanza kama ana mimba au anakutishia nyau huenda hata anataka kukupa presha tu au kukupiga hela ukizingatia kwass Yuko field (mbali naww) maan haiwezekani tatzo limetokea baina yenu afu yy ndo awe karelax as if nothing bad happened ukizingatia yy ndo muhanga mkuu na maamuzi yako kwako eidha umjali kwa kuksaudia au umtelekeze aangaike nayo (though sio poa)! So, fanya kumtishia tu kwamba hauna mpango nae endapo hata fanya unavotaka wew afu uone reaction yake (inabd unkazie kwel kuonesha how serious you are on such issue) then ikiwa kweli anayo bas muache tu azae Mambo yatajiset huko mbali na kilakitu kitakua okay, wew sio wa Kwanza wala hauta kuwa wa mwisho kuchepuka adi kuvuna matunda! Pole& Hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoooooh mpaka nimeshusha pumzi Kwa huzuni, Bora usingeleta huu uzi( upupu wako) humu Mjnga kabisa wewe, afu umejihami kabisa hapo kuwa unajua kuwa wengi watakutukana jiulize kwann? na hiii iwe mfano Kwa wengine(wenye akili kama zako)
Na Kila Siku huwa nasema Watu wengi hawajui Ndoa ni nn, Wanakurupuka na wengine hushabikia ujinga kutafuta mwenzi mtandaoni bila kumjua mtu vizuri haya ndo matokeo yake.

Sijui tu tutaishia wap kuna single mother wengi mnoo mitaani je, unajua sababu ni nn? Wewe mtoa mada kama unataka kuua kiumbe kisichokuwa na hatia, jiuwe wewe kama ni vizuri usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine.

Na kumbuka malipo ni hapa hapa Duniani mjinga mkubwa wewe.
Asante mkuu
 
Pole kwa changamoto mkuu (as you call yourself"janga") hiyo isijuchanganye sana kichwa, kwa wanaume wengi ni kawaida na unatokea Sana tu kuchepuka hasa mwenzi wako anapokua mbali, Cha msingi jidhihirishe Kwanza kama ana mimba au anakutishia nyau huenda hata anataka kukupa presha tu au kukupiga hela ukizingatia kwass Yuko field (mbali naww) maan haiwezekani tatzo limetokea baina yenu afu yy ndo awe karelax as if nothing bad happened ukizingatia yy ndo muhanga mkuu na maamuzi yako kwako eidha umjali kwa kuksaudia au umtelekeze aangaike nayo (though sio poa)! So, fanya kumtishia tu kwamba hauna mpango nae endapo hata fanya unavotaka wew afu uone reaction yake (inabd unkazie kwel kuonesha how serious you are on such issue) then ikiwa kweli anayo bas muache tu azae Mambo yatajiset huko mbali na kilakitu kitakua okay, wew sio wa Kwanza wala hauta kuwa wa mwisho kuchepuka adi kuvuna matunda! Pole& Hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,comment yako imenitia nguvu sana
 
Ujinga huu sijui utawaisha lini, Ivi unajua stress ukipata Mwanamke mwenye mimba INA sababisha effect mpaka Kwa mtoto?
Eti una mshauri ajifanye kama ana mkataa? Upupu umeandika,ukiona ushauri kama huu basi na wewe ushafanya ujinga huu. Ni mda kujifunza Kwa huyu jamaa na kujifunza kuwa waaminifu
 
Inshu yakutoa uhali wa mtu sio kitu kidogo, kumwaga damu isiyokuwa na hatia, unaweza sababisha huyo Mama akafa,au akaathirika kisaikologia,

Ukimpa stress huyo mama kuna effect nyingi zitaenda Kwa mtoto ndo maana unazaa mtoto unashangaa mtoto anakuwa na tabia za ajabu au haeleweki au anachukia jinsia Fulani ivi unajua sababu ni nn!? Ndo hizi hizi kumchanganya mama mjamzito.

Me Binafsi Siku zote nikitaka kufanya jambo lolote huwa natumua akilii kuliko hisia, so siwez kufanya ujinga uliofanya.
 
You took advantage of the poor 19 year old girl. Yawezekana ulimuona mkubwa ila hajakomaa kiasi cha kufanya maamuzi makubwa.Yawezekana hakua na uhuru wa kukwambia utumie condom au hakujua kuna P2...probably you controlled her.
Ulishindwa kupata mtu saizi yako ukaenda mparamia mtoto wa watu???
Kwa utu uzima huo wa mke na watoto wa wawili ulifikiri kwa huyo binti unamwaga uji au maji??? Uliona ubahili kununua condom???

1. I hate abortion but akikubali shukuru sana and make sure you take her to the best medics usimtie ulemavu na majuto ya baadae mtoto wa watu kwa tamaa zako make sure anapata huduma nzuri.

2. Akishikilia msimamo wa kutunza mimba na kuzaa pia m-support kwasabu utakua umevuruga ramani yake ya maisha....hata kama ataendelea na masomo ila utakua umetia doa kwenye maisha yake.

3. I hope she has a strict family that will stand by her and support her.A family that will also take legal measures againts you ikibidi upigwe mvua za kutosha kwa ujinga wako.

4. Katika hao wanao wawili I hope una binti ambae by the time anafikisha miaka 17 libazazi lingine lijisevie na wewe uone machungu na ugumu wa kuharibiwa mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umenena kwa machungu sana na unajua maana ya P2 safi nimekuelewa tamaa sio nzur ila mshaur alee tu mimba kunaraha yake bint akizaa mapema japo ni risk nyng

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ujinga huu sijui utawaisha lini, Ivi unajua stress ukipata Mwanamke mwenye mimba INA sababisha effect mpaka Kwa mtoto?
Eti una mshauri ajifanye kama ana mkataa? Upupu umeandika,ukiona ushauri kama huu basi na wewe ushafanya ujinga huu. Ni mda kujifunza Kwa huyu jamaa na kujifunza kuwa waaminifu
Ushauri wa bure kwako "Soma kwa kutulia uelewe kilichoandikwa" acha kukurupuka unaposoma kwa sentence moja! Maliza paragraph nzima ndo ujue ujib nn 'jinga' kabsa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwako "Soma kwa kutulia uelewe kilichoandikwa" acha kukurupuka unaposoma kwa sentence moja! Maliza paragraph nzima ndo ujue ujib nn 'jinga' kabsa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma yote sasa ulichomshauri hapo juu ni kipi nani amekwambia nimekurupuka naisi wewe una shida mahali jichunguze, huenda na wewe ni mdau wa hizo mambo, ushauri UPI umempa mwenzio badilika unapotokea ujinga lazima tukemee.
 
Mnatengeneza single mama...Mwanao akikua na kutaka kuoa single mama, utakuja juu.

Tusiishi kwa mazoea,kwavile mkeo yupo mbali ndo uchepuke...
 
Back
Top Bottom