Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Huna akili ndio maana unajiita HPV,!! Siwezi kushauri uue! Never ever! I am so glad mwanangu sasa ni mkubwa na amekua faraja kubwa sana kama ningekubali like wazo la kutoa mimba leo hii ningekua sina mtu wa kuongea nae, nisingekua na mtu wa kucheka nae, nisingekua na mshauri! Usifanye huo ujinga, mtoto ni baraka njoo PM nikupe ushuhuda.Wakuu salam kwenu
Poleni kwa Covid-19
Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa
Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19
Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field
Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu
Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali
Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa
Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?
Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.