Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Pumbavu Sana, ulipokuwa unajimwambafy kwa kuchovya bila kinga ulikuwa unatafuta nini kwa binti wa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Ongea na mkeo ili huyo mtoto akijifungua, basi mtoto atakaezaliwa alelewe na mkeo.
Usiwatumie vibaya watoto wa wenzake, halafu unajiuliza anakutafuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
HAWEZI KUKULETEA MSALA, ANAKULETEA DAMU YAKO, ANAWEZA KUWA MSAIDIZI WAKO WA BAADAYE. WALA USIUMIZE KICHWA NDUGU YANGU, WATOTO HAWAJAWAHI KUWA BARAKA, WATOTO NI MAJUKUMU, USIKIMBIE MAJUKUMU, UKITIMIZA NDIO BARAKA ZENYEWE HIZO. WAKATI MWINGINE SI KILA JAMBO UJIPANGE, HUKUJIANDAA NA MTOTO NAYE ILA ULIJIANDAA NA MAPENZI TU, HUKU CALCULATE RISK VEMA SO REWARD YAKE NI HIYO APO. ACCEPT THE CHALLENGE.
 
Watu wenye mikasa yetu ya maisha hatuwezi kukomenti huu uzi.. tunatulia huku tunasoma comments..

Sina hio moral authority ya kumshauri chochote mtoa maada
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
Akiendelea kuwa mbishi kubali kufa
 
Mkuu Human Papiloma Virus,

Pole kwa hali ya sintofahamu, hofu, panic na majuto unayopitia. Wewe sio mtu wa kwanza kuwa katika hali kama hii, hata hivyo, usifanye maamuzi ambayo baadae utakuja ujutie.

Mimi huwa ninapinga sana utoaji mimba. Na ninatamani nikutukane, lakini ninaona matusi yangu hayatasaidia kitu kama ambavyo wewe ukimuua huyo mtoto asiyekuwa na hatia haitasaidia.

Mshukuru Mungu kuwa aliyepata ujauzito ni mtu mzima, sio mtoto wala mwanafunzi wa sekondari au shule ya msingi. Otherwise, mambo yangekuwa magumu zaidi. Lea huyo mtoto. Kama umeweza ku-date na huyo mwanamke bila mkeo kujua, kwanini ushindwe kumlea huyo mtoto bila mkeo kujua?

Cha msingi muweke wazi huyu binti mdogo, kuwa wewe una mke na watoto hivyo aheshimu. Kama ulimdanganya hauna familia, ni muda mwafaka sasa umuweke wazi. Japo umechelewa, lakini ni bora ajue kuliko kuja kugundua baadae.

Ninakutakia kila la kheri Mkuu. Wewe ni mwanaume, wajibika. Usikubali kuwa muuaji. Lea huyo mtoto.

Wasalaam.
 
Wataalamu wanasema kayakanyaga, Mimba Haitolewi na Mtoto Utalea na Asip angalia anaozeshwa Au unasemaje ? [emoji38][emoji38][emoji38]
Human Papiloma Virus
Hahaha huyo mzee lazima apigwe ndoa moja ya mkeka, ili wakasaidiane kulea mimba,
2020 bado watu wanatoa mimba khaa mbona haikuji kabisa.

Nitawachangia ubaniiiiii
Lol

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Siku zote ukipanda Mahindi unategemea kuvuna Mahindi, wewe ulijua wazi kuwa una Mke na Watoto lakini hukupenda kutumia kinga ni kwamba ulikuwa tayari kwa jambo lolote, inabidi ukubaliane na hali Mtoto azaliwe naye aone mwanga kama wewe unavyoona mwanga.
 
Mkuu Human Papiloma Virus,

Pole kwa hali ya sintofahamu, hofu, panic na majuto unayopitia. Wewe sio mtu wa kwanza kuwa katika hali kama hii, hata hivyo, usifanye maamuzi ambayo baadae utakuja ujutie.

Mimi huwa ninapinga sana utoaji mimba. Na ninatamani nikutukane, lakini ninaona matusi yangu hayatasaidia kitu kama ambavyo wewe ukimuua huyo mtoto asiyekuwa na hatia haitasaidia.

Mshukuru Mungu kuwa aliyepata ujauzito ni mtu mzima, sio mtoto wala mwanafunzi wa sekondari au shule ya msingi. Otherwise, mambo yangekuwa magumu zaidi. Lea huyo mtoto. Kama umeweza ku-date na huyo mwanamke bila mkeo kujua, kwanini ushindwe kumlea huyo mtoto bila mkeo kujua?

Cha msingi muweke wazi huyu binti mdogo, kuwa wewe una mke na watoto hivyo aheshimu. Kama ulimdanganya hauna familia, ni muda mwafaka sasa umuweke wazi. Japo umechelewa, lakini ni bora ajue kuliko kuja kugundua baadae.

Ninakutakia kila la kheri Mkuu. Wewe ni mwanaume, wajibika. Usikubali kuwa muuaji. Lea huyo mtoto.

Wasalaam.
Asante mkuu kwa ushauri nzuri nimefarijika sana
 
Sina uhakika mkuu ingawa binti anasisitiza ni yangu,kwa kipindi fulani cha hapa katikati nimekua nikipata taarifa zake ambazo si za kuridhisha ingawa mwenyewe amekua akikataa katakata,pia muda wowote nliokuwa namhitaji nakua nae,in short siwezi kuamini kwa 100% mimba ni yangu kutokana na skendo zake na majibu yake ya ovyo kuhusu hii mimba aliyo nayo
una uhakika mimba ni yako?
 
noma sana nasubiria mrejesho
 
Back
Top Bottom