Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

Mkuu si unajua protein ikijaa,inatakiwa itoke ili itengenezwe nyingine?sasa kama mwenza wako yuko mbali utafanyaje?inabidi kuangalia njia mbadala...bila kuipunguza inaathiri ubongo,ndio maana kuna wengine ni wakubwa ila wanakuwa na mambo ya kitoto hiyo inatokana na madhara ya kutokuipunguza.
Siyo sababu, nawajua Wanaume wanaotoa hizo proteins kila siku na wana akili za kitoto na wanaotoa once in a while na wana akili timamu tu.

Msitafute sababu za kuhalalisha uzinzi, Mungu siyo mjinga kukataza uzinzi.
 
Kitoto cha shilawadu kinakuja

Mkuu wakati unafanya ulikuwa hujui kuna mavuno baadaye relax bwana subiria mtoto wa 3 hakuna namna

Nimempenda bure huyo binti simamia hapohapo hakuna kutoa ukifa je ye abaki na mkewe
 
Siyo sababu, nawajua Wanaume wanaotoa hizo proteins kila siku na wana akili za kitoto na wanaotoa once in a while na wana akili timamu tu.

Msitafute sababu za kuhalalisha uzinzi, Mungu siyo mjinga kukataza uzinzi.
Kwa yule mwenye nguvu kamili kukaa na hizo protein siku 3 bila kutoka ni mateso...ila kwa wale wenye upungufu kwao ni kawaida,hata zitoke mara 1 kwa mwaka kwake ni sawa tu
 
Ila Wanawake mna mitihani ya Ajabu muda mwingine! Huyu mpumbavu nae alikuwa na mwanamke na mwanamke huyo anajisifu kuwa ana Mwanaume!?

Pathetic!
 
Shame on you,ulishindwa kudate na mtu angalau kuanzia miaka 25yrs ,mtu mzima kama wewe unatoka na vitoto vidogo hivo,utavuna ulichopanda,ninyi ndo mnatuharibia watoto wetu ,afu wa kwanza kuja kuleta majukwaa ya single mother na kuwananga,😥😥😢😢Ninyi wababa sometimes muwe na huruma jamani mweeeee!
 
We jitoe wewe kwanza kwenye dunia...
Kama una mke yeye ulikuwa unamchezea..?

Bado unataka kuua...
Ushauri ni simple tu...

Mpigie mkeo na umuueleze,na umuulize Anakupa ushauri gani...
Pi Acha tamaa mkuu,Tena koma koma kabisa...
kumbe vipofu ni wengi sana, kwa mbali naona familia yako ikiingia kwenye tafran kubwa, na wewe utayumba sana

cha kufanya endelea kukumbatia kaa la moto katikati ya bahari ya mafuta.

pole sana
 
Pole sana Mkuu...Laiti ungeyatambua hayo toka mwanzoni,,ungetumia condom..Sasa ulikula kavu kavu,,Bora ata mimba unayoigopa utapata faida mtoto...Je kama umepewa na ugonjwa babalao,,si ni balaa hilo..Itakua hasara bin hasara😯
 
Kwa yule mwenye nguvu kamili kukaa na hizo protein siku 3 bila kutoka ni mateso...ila kwa wale wenye upungufu kwao ni kawaida,hata zitoke mara 1 kwa mwaka kwake ni sawa tu
Kwani Mungu zile sheria zake aliziweka kwa ajili ya wanaume wenye upungufu tu ??
 
Hauko peke yako,pole sana Human Papiloma Virus ,Kuna wenye watoto watatu wa scenario kama ya kwako(japo ninayemjua hajaoa bado).
Wewe kubali na ulee mtoto,ni changamoto na inabidi ukabiliane nayo kama mwanaume,sio kukimbia.
All the best,
Elli Mshana ,naomba ushuhuda wako humu usaidie na wengine.
 
Wakuu salam kwenu

Poleni kwa Covid-19

Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa

Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19

Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field

Sasa hivi majuzi kaniambia ana mimba ,mi nikamkatalia ila kasisitiza sana mimba ni Yangu

Nikamwambia mi nina familia ya watoto wawili na mke ingawa tunaishi mbalimbali

Nikamwambia hiyo mimba inabidi itolewe (hapa mnisamehe tu najua watu mtanitukana) kwa sababu sijajiandaa kulea mtoto yoyote kwa sasa na isitoshe hatukupanga kuzaa mtoto Mimi na wewe so mimba itolewe angali changa

Binti kagoma, na isitoshe haoneshi ushirikiano wowote, kiukweli nashindwa kumwelewa huyu binti ananitafuta nini?

Nipeni ushauri jamani nifanyaje manake naona atakuja kuniletea msala tu mbeleni.
-------------------------------------------------------------
UPDATE

BINTI KAKUBALI YAISHE ,AMETOA

Baada ya binti kumshawishi aitoe mimba ambayo hatukuitarajia na akagoma

Niliamua kuachana nae,ila juzi nimekaa zangu home kanitumia msg amekubali aitoe kwa sababu ana wasi wasi kwao watamzingua

Nikamwambia poa ,tukakutana hotelin nikachukua room

Mtoto katumia dawa ndani ya masaa mawili mimba ikatoka na sasa anaendelea vizuri buheri was afya

ONYO: Wanaume wenzangu tuache/tupunguze michepuko na tuangalie wanawake wa kudate nao

Pia tujitahidi kukojolea nje kama tumeshindwa kutumia condom.
Umeua kiumbe kisicho na hatia, damu yake itakua juu yenu daima
 
Mhh!!kukojoa nje sio rahisi kihivyo, hapo Jambo la msingi ni kutumia kondomu tuu
 
Tukiwaita wauwaji nyinyi tumekuwa timewakoseaaaa
Au mna tofauti gani na wale wauaji wanao uwa watuuu mtaanii
Nyambafuuu
Acha ufala hata aibuu unaa kutuletea utumbooo kama huuu
Huyo mtoto hana hatia mmemua wauaji nyinyi
Afu unakuja kujisifuuu
 
Back
Top Bottom