Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

tama za nini sasa wakati ushaoa???? we hujui ndoa ni kitu cha heshima inatakiwa iheshimiwe na sio uo ujinga unaofanya ww,, muombe sana mke msamaha make umemuoneshea dharau kichizi eti
Ushauri wako si mbaya ila usiniite mjinga sheikh
 
Mtoto mdogo ambaye bado yuko kwa wazazi wake keshaanza mambo makubwa ya kuvunja ndoa za watu...abakwe tu...

Binti alifanya mistake siku moja akatuma sms usiku wa manane nimelala kwamba amepigwa sana na baba yake kwa kosa la kumtetea mdogo wake alipiwe ada. Na ameumizwa sana hivyo akamalizia na neno sweetie.

Hapo wife akili zikakaa attention na akaanza kuwasiliana naye kwa text kwa kificho. Na kila usiku nikilala anachukua simu na kumtext kuangalia kama mahaba yapo au lah. Binti akawa anatiririka tu. (Nilishamkanya asiwe anatext bali mie ntampigia tuongee)....

Sasa akafanya mpango hadi akampata binti uso kwa uso mjini... baada hapo kilichofuata ni balaa maana hakuniambia kama anawasiliana naye.

Hapo kaka kukataa ni ngumu maana binti mwenyewe anakiri kwamba tuna mahusiano...

Kilichofuata hapo ni balaa bin janga.
 
Mpe option ya yeye kulalwa na mtu yeyote anaemtaka. Hiyo ndoa unaipenda bado na unaleta fyokoo fyokoo hahaha

That is the best option...maana hapo ni swala la nini kifanyike hasira za wife ziishe...
Ampe ruhusa akumbushie kwa ex wake...hapo ngoma draw...ha ha ha...

Else tutajasikia Msanii ka Ufosarishwa...chezea hasira za wivu weye...
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.
Kiongozi pole sana, ila mkeo ni noma. Yaaani anataka kuona mwanamke mwenzie akipigwa mtungo? wewe cha kufanya ni kuendelea kutenda matendo ya huruma ili akusamehe na ujitahidi kuondoa mazingira yale yanayomfanya akuhisi vibaya. Ila niliposoma hapo mwisho nimejikuta nacheka sana
 
Mkuu mwambie hakuna mwanaume asiyechepuka,hiyo ni ajali kazini.Tulia kimya hasira zitamuisha tuu
 
Mwambie mkeo akukodie timu ya kukushughulikia wewe na Si huyo bint wa watu.
 
Acha utoto wewe!! Mwabie wazi mkeo huwezi fanya hivyo kama vp achukue uamuzi anaoona unafaa. Ushaomba samahani basi inatosha.
 
Mwambie mkeo akukodie timu ya kukushughulikia wewe na Si huyo bint wa watu.
Na hapo ndo umemaliza vitabu vyote vya hekima...
Nashukuru kwa ushauri.

Ila mimi nimepokea ushauri kule juu ambao umenijenga sana kuliko huu wa kwako wa mwendo wa kulipa kisasi. Naamini ktk reconciliation.
 
Ukimpeleka binti kwa mke wako akabakwa basi ujue wewe, mke wako na wabakaji waliotumwa wote mtakuwa na hatia ya kubaka na mkishitakiwa mahakamani mtafungwa. HASIRA HASARA.
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.

Ndio ujifunze michepuko sio dili kuwa mpole tu kwa wife ongeza,mapenzi punguxa muda wa kukaa nje sana tumia muda wako mwingi na wife mtie out au muende vacation itasaidia kiasi chake
 
Mmmh! unamaanisha kweli hilo unalosema? Vipi angekuwa ni binti yako wa kuzaa?
Binti yangu wa kuzaa awe nyumba ndogo?...God forbid!
Sina mtoto wa kike lakini ningekuw naye wimbo wangu ungekuwa 'waume za watu ni sumu'...mara mia apige umalaya wote lakini si na waume za watu...nikujiwekea nuksi maishani...
 
usimpeleke..badala yake nenda wewe wakubake ili hasira ya mkeo iishe
 
mtishie unaomba ndoa ivunjike........sababu una hofu anaweza kukuzuru/kuwazuru wewe na chepuko lako....uone kama hanyituuuuuu......
 
Ebu kuwa mwanaume bana we vipi unapigwa mkwala au wewe ni Mario?
 
Back
Top Bottom