Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.

Mkuu endelea kuchepuka tu na huyo bidada,... mkeo ni katili!!
 
Acha utoto wewe!! Mwabie wazi mkeo huwezi fanya hivyo kama vp achukue uamuzi anaoona unafaa. Ushaomba samahani basi inatosha.

Ume sound as a Man. Liwalo na lowe
 
Acha utoto wewe!! Mwabie wazi mkeo huwezi fanya hivyo kama vp achukue uamuzi anaoona unafaa. Ushaomba samahani basi inatosha.

Huu ndio ushauri wa maana. Liwalo na liwe
 
Asifanye kabisa wa kusababisha huyo binti abakwe maana akienda kushtaki polisi basi itakula kwao na kubaki na majuto bin mjukuu. Aendelee kuomba samahani labda ataeleweka.

Jaribu uone kama haujaishia korokoroni na huyo mkeo.
 
Best jamaa kakaribisha cobra ndani ga ndoa yake. Tunamsaidiaje hapo sasa? Afu unakuta mwenyewe ni kibamiosis mechi dakika nusu mkewe keshajizoelea. Aende huko kwa wanaomtongoza kutwa mara saba, salaaale! Atamuambia tuendelee hivi hivi mume wangu. Hahaha
Hahahahahahaha kulalwa na amtakaye! Hii noma anaweza kunogewa na gegedo la jamaa akaamua kuhamia kabisa huko, ndoa chaliiii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapa ni kuendelea tu kuomba samahani tu, bora hata angeomba 3 some mume angefurahia sana na baada ya 3 some mume anapewa onyo la mwisho kutosogea popote alipo huyo mrembo au kuwa na mawasiliano naye ya aina yoyote ile.

Best jamaa kakaribisha cobra ndani ga ndoa yake. Tunamsaidiaje hapo sasa? Afu unakuta mwenyewe ni kibamiosis mechi dakika nusu mkewe keshajizoelea. Aende huko kwa wanaomtongoza kutwa mara saba, salaaale! Atamuambia tuendelee hivi hivi mume wangu. Hahaha
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya
Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka,
nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako).
Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku
tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti
chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya
mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita
kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha,
hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba.
Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu
nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo
nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi
sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila
bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada
ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na
upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo
naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule
binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni
kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa
namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo
maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama
kiasi hiki.

aiseeee wanawake wengine " end of thinking capacity" ivi kama hata huna akiri unaweza fanya hicho kitu?

then hao vijana alowaanda wakimaliza kumbaka yeye atafaidi nn? usifanye huo ujinga kumbuka sheria itakubana wewe

umemuomba samahani na umekiri kutorudia maana wew si wa kwanza na wa mwisho kuchepuka kama hataki kukusamehe mwache.
 
Best, sie wanawake tunaopenda kizamani tuna shida sana. Hiyo tatusome unaanzaje? Manake mapenzi yanataka feelings, na feelings si za watu wawili. Kwa hiyo lazma mume atolewe moyoni ili mchepuko uingizwe. Hakuna kitu kibaya kama kuthibitisha kuwa mwenza wako anachepuka. Bora uruke futi mia tatu.

Sasa kwenye hiyo tatusome si Msanii atakuwa na kazi ya kumuobserve mwenzie tu? Hehehe hapo ndio uanaume unapokuwa mgumu kama jiwe
Hapa ni kuendelea tu kuomba samahani tu, bora hata angeomba 3 some mume angefurahia sana na baada ya 3 some mume anapewa onyo la mwisho kutosogea popote alipo huyo mrembo au kuwa na mawasiliano naye ya aina yoyote ile.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.

Daaah! mkuu , mkeo ana mapepo! si bure, atasababisha uende lipango, uckunali kufanya hilo tendo kwa binti wa watu!
 
Usimpeleke dada wa watu, kama anaweza mwambie akuandalie vijana wewe wakufanye wanavyotaka, kisha tazama response yake.Ni hasira tu atatulia. Msamaha gani wa masharti? Kwa roho aliyonayo mkeo hata ukifanya hicho anataka kuku-control kwa kosa lako, dont allow that to happen.

Ila na wewe sasa ulikosa nini kwa shemeji? Usirudie tena
 
Binti yangu wa kuzaa awe nyumba ndogo?...God forbid!
Sina mtoto wa kike lakini ningekuw naye wimbo wangu ungekuwa 'waume za watu ni sumu'...mara mia apige umalaya wote lakini si na waume za watu...nikujiwekea nuksi maishani...
Sawa Nyumba Kubwa ila kumshauri huyu kijana kuwa ampeleke binti kwa mke wake akabakwe ni sawa na kumwambia akamuue huyo binti. Na hilo ni Kosa kubwa la jinai ambalo hukumu yake ni miaka kadhaa jela. Halafu kwa mtazamo wangu mwenye Kosa ni huyo mume ambaye alimtongoza binti wakati akijua wazi kuwa ana mke nyumbani. Huyo mama alitakiwa ashughulike na me wake siyo huyo binti wa watu.
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.

Umekaliwa chapati ndugu yangu.
 
Wewe ni mwanaume sasa utasumbuliwa vipi na mwana mke mmoja! Watu wana wake mpaka wanne na wote wana heshima.
Ukijaribu kufanya hivyo utajuta zaidi Ya leo coz tutakuona kwenye TV na humu JF tutakujadili kwa hilo litakalo kuwa kwenye vyombo vya habari kwa wakati huo
 
Hahahaha hayo nilishamweleza sana hata kabla ya kudumbukia mtaroni. Nilikuwa namwambia kwamba kunistress siyo deal na inaniumiza.
Huwa ni mtata hata kwa nduguze na rafikize.

Kama bado anang'ang'ania msimamo wake, mwambie aende kwao akapumzike mpaka atakapokuwa amebadiri msimamo wake.
 
Shikilia msimamo wako broo, usije kufanya hilo kosa la kumpeleka huyo binti akabakwe, hiyo dhambi itakutafuna maisha yako yote.
 
Leo ahsubuhi ninampeleka kazini. anatoa machozi nikimuuliza hataki kusema, baadaye amenipigia anasema kuwa ninamkwepesha yule binti hivyo bado ana uhakika naendelea naye.

Kiufupi ni kwamba anayo namba yake na wameshawasiliana sana na ameshapafahamu kwao. Najiuliza kwa nini anihusishe mimi ktk mpango wa kijinai?

Je ulimwambia mchepuko kuwa una mke? Mimi naiona wewe ndiye mwenye haki ya kupata adhabu kutoka kwa mkeo katili na mwenye makelele sana ndani ya nyumba. Binti achana naye mwambie umejutia kosa na hutorudia tena ila akilazimisha mwache aje akutane na katili (mkeo) aimbe kikwao.
 
Mwambie mkeo aachane kabisa na huo mpango kwani
utawafanya ninyi nyote muishie jera na kuacha watoto wenu wakihangaika.
Mwambie hata akifanya lolote kwa huyo binti kivyake
ajue ndo mwisho wa ndoa yenu.
Na wewe ujutie hilo kosa lako na kuacha kabisa,
jitahidi unapotoka kimatembezi,nenda na mkeo ili akuamini na kurudisha imani
kwamba umebadilika.
Si busara kutekeleza wazo la mkeo,mtatolewa kwenye vyombo vya habari
na mtafedheheka,isitoshe mkifanyia mtaani kwetu tutawachoma moto
kama waarifu wengine maana huo ni uhalifu.Huyo binti ulimtafuta wewe
na si ajabu hukumwambia kuwa una mke,sasa kosa lake ni nini hata mmbake?
 
Back
Top Bottom