Yameanza kutimia: Bandari kavu zalia kukosa mizigo

Mlitkaje ninyii..kwani kupunguza watu kazi ni dhambi..si tunabana matumizi jamani. Mbona UKAWA mnashida sana...
 
Wanasema pamoja na mizigo kupungua lakini mapato yameongezeka sijui kwa kutumia formula gani.
Wapandishe mishahara kama mapato yameongezeka, utasikia wanabana matumizi halafu wanatembea na mabulungutu kwenye briefcase
 
Mlitkaje ninyii..kwani kupunguza watu kazi ni dhambi..si tunabana matumizi jamani. Mbona UKAWA mnashida sana...

Acha utoto, tunabana matumizi au watu wanapunguzwa kwa pato kupungua? Ingekuwa pato limeongezeka halafu ukasema ubane matumizi tungekuelewa, na wala sio huna kitu halafu useme unabana matumizi.
 
Mlitkaje ninyii..kwani kupunguza watu kazi ni dhambi..si tunabana matumizi jamani. Mbona UKAWA mnashida sana...
Hahahahah bado kuna watu kama nyie kweli hivi hawa watu waende wapi kupata riziki kweli huu ndo mkakati wa kuwafikisha watu middle class bila ajira na huku kuwanyima wasichukue mafao yao wakajiajiri?Kweli akili ni nywele....
 
Mlitkaje ninyii..kwani kupunguza watu kazi ni dhambi..si tunabana matumizi jamani. Mbona UKAWA mnashida sana...
Je kuna tija tangu Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani? Na kama ndiyo, je tija ikiongezeka ajira zinapungua au zinaongezeka?
 
Acha utoto, tunabana matumizi au watu wanapunguzwa kwa pato kupungua? Ingekuwa pato limeongezeka halafu ukasema ubane matumizi tungekuelewa, na wala sio huna kitu halafu useme unabana matumizi.
Hajielewi huyo
 
Ya nini mizigo kuingia af hakuna faida
Hiii hapa
665187678b8dabc0ada61f2451671a3c.jpg
 
Kutokana na hali ya bandari kuzidi kuwa tete kila siku hatimaye wanajiandaa kupunguza wafanyakazi.

Chanzo: ITV

Tuendelee kuisoma namba, CCM oye
acha mpunguzwe tu maana kazi zenyewe mlikuwa mnapeana kwa kujuana................mje muone maisha halisi yalivyo sio ya mkatomkato.
 
Back
Top Bottom