Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,840
Hiyo ni moja ya habari za kibiashara katika Taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku huu.
Bandari hizo kavu zinafikiria kupunguza wafanyakazi kwani zinashindwa kujiendesha. Kwa mujibu wa Afisa mmoja wa Bandari hizo, Bandari hizo zimeajiri watu takribani 500 huku wengine wakiwa wameajiriwa kwa utaratibu wa ajira za kudumu.
Mizigo iliyopungua katika bandari hizo ni pamoja na magari na bidhaa nyinginezo.
Chanzo:ITV
Hata sisi tusio wachumi tulishatabiri haya kwa kuleta uzi hapa JF tangu mwezi December mwaka jana na tulitoa mpaka suluhisho ila wale vijana wa Lumumba walitubeza sana sasa leo sijui wapinga na hii habari?
Uzi husika huu hapa:
2020 Magufuli atapata kura za vijijini na si mijini
Nasubiri utekelezaji wa Bajeti ya shilingi trilioni 29.5
Pitia hapa pia:
Mzunguko wa hela mtaani umekuwa mdogo, hiyo kodi utakusanya kutoka wapi?