Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
DUH!
wa G watupu!
wa G watupu!
MwanaFalsa1
CHADEMA hailipi mishahara viongozi wake mishahara.Si wajumbe wa Kamati Kuu,si Baraza Kuu wala si Mkutano Mkuu isipokuwa hulipwa posho ndogo sana za vikao kwaajili ya kujikimu na nauli. Wabunge na Viongozi Wakuu wale wa Bara hawalipwi hata hizo posho za vikao kwa kuwa wameamua kujitolea ingawa ni haki yao kupata. CHADEMA ni chama chenye mapato kidogo hivyo hakina budi kupunguza matumzi yasiyo ya lazima..Viongozi wote wa CHADEMA katika ngazi zote hakuna anyelipwa mshahara kwa sasa isipokuwa watendaji wa Makao Makuu tu.ndio wanapata posho kidogo za kujikimu kwa mwezi.
Wakuu nimeona nivema nikawapa majina ya kamati kuu mpya ya CHADEMA ili wale wasioifahamu basi waifahamu.
1.Freeman Aikael Mbowe -Mwenyekiti
2.Said Amour Arfi (MB)- M/Mwenyekiti Bara
3.Said Issa Mohamed- M/mwenyekiti Zanzibar
4.Dr Wilbrod Peter Slaa- Katibu Mkuu
5. Zitto Zuberi Kabwe- Naibu Katibu Mkuu Bara
6.Hamad Mussa Yusuph-Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
6. Edwin Mtei- Mwenyekiti Mstaafu
7.Bob N Makani- Mwenyekiti Mstaafu
8.Philemon Ndessamburo(MB)
9.Mhonga Said Ruhanywa (MB)
10.Shaban Mambo-Mwenyekiti Umoja wa Madiwani
11.Lazaro Massai-Mwenyekiti wa Halmashauri Karatu
12.Philip Shelembi
13.Susan Lyimo(MB)
14.Mwanamrisho Abama-Zanzibar
15.Prof Mwesiga Baregu
16.Dk Kitilla Mkumbo
17.Nassor Ally Salim -Zanzibar
18.Regia Estelatus Mtema- Mjumbe mdogo kuliko wote kwa kuchaguliwa
19.Shida Salum Bitaliho
20.Leticia G Mosore-Mwenyekiti -Baraza la Wanawake CHADEMA(BAWACHA)
21.Susan H Kiwanga
22.Grace Kiwelu(MB)
23.Paul Herman Sule- Katibu wa Umoja wa Madiwani
24.Charles Mwera(MB) na Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime
25.Nyangaki Silungushela- Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA
26.John Mnyika-Mkurugenzi
27.John Mrema-Mkurugenzi
28.Benson Kigaila-Mkurugenzi
29.Msafiri Mtemelwa-Mkurugenzi
30.Victor P Kimesera-Mkurugenzi
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.
Chadema kuna udini sana.
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.
Chadema kuna udini sana.
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.
Chadema kuna udini sana.
Eddie, ikiwekwa kamati kuu ya CUF utasema imejaa waislamu? Nadhani distribution ya uwakilishi umetokana na maeneo ambapo CHADEMA ina nguvu/ uwakilishi zaidi. GenderSensitiv ameweka ufafanuzi wa vigezo vya kuwepo kwenye hiyo kamati kuu, dini si mojawapo ya vigezo.
Stop hating, bro. Tunajaribu kujenga, usibomoe! Hatutafika popote.
Nafasi nyingi kama sii zote kwenye kamati kuu ni za kuchaguliwa siyo kuteuliwa. Kwa hiyo mtu ana gombea na ana chaguliwa. Je umejiuliza kwanza ni waislamu wangapi waliji tokeza kugombea hizo nafasi? Na je hata kama wali gombea na hawa kuchaguliwa utasema ni upendeleo? Maana sasa naona watu mmezidi. Mara Chadema chama cha Wachaga mara chama cha wakatoliki etc. Acheni mentality ya kidini katika kila kitu.
Unataka nimwage kuku kwenye mtama mwingi?
Mimi sina info yoyote ya CUF kutosheleza kuanzisha thread. Hata kama hii thread ni ya CHADEMA don't hate! Halafu wewe ndio unaonekana mdini. Kwa statement yako ulioweka kuwa "Waislamu tokeni". Na wakitoka utasema tena kingine. Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!Ukitaka ya CUF anzisha thread yake tutakuja kuchangia hapa ni ya Chadema
Nimesema Kamati Kuu ya Chadema ina baadhi ya vichwa makini na makapi ni wale waliongia CC huku wapo wapo tuu, kama Kafulila asingeboronga, naye angeukwaa ujumbe wa CC Chadema.Pasco
Moja Asante kwa maoni mazuri. Pili naomba unifafanulie hapo nilipoweka RED sijakupata.
Mimi sina info yoyote ya CUF kutosheleza kuanzisha thread. Hata kama hii thread ni ya CHADEMA don't hate! Halafu wewe ndio unaonekana mdini. Kwa statement yako ulioweka kuwa "Waislamu tokeni". Na wakitoka utasema tena kingine. Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!
Nani aliekuudhi na kukufanya kuwa na chuki namna hii bro? We are TANZANIANS, for God's sake! We already have divisions, don't help to make this one on religion deeper.
Tatizo ni shule na sitoacha kulisema hilo. Hukuelewa niliposema kuna "token muslims" sikumaanisha watoke lol.
Kazi kweli kweli
Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!
Umejibu kishabiki zaidi kuliko ukweli halisi...Nafasi ya Chadema Zanzibar ni sawa na ile nafasi ya CUF Bara na CCM zanzibar
Umejibu kishabiki zaidi kuliko ukweli halisi...