Yaliyotokana na Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema

MwanaFalsa1

CHADEMA hailipi mishahara viongozi wake mishahara.Si wajumbe wa Kamati Kuu,si Baraza Kuu wala si Mkutano Mkuu isipokuwa hulipwa posho ndogo sana za vikao kwaajili ya kujikimu na nauli. Wabunge na Viongozi Wakuu wale wa Bara hawalipwi hata hizo posho za vikao kwa kuwa wameamua kujitolea ingawa ni haki yao kupata. CHADEMA ni chama chenye mapato kidogo hivyo hakina budi kupunguza matumzi yasiyo ya lazima..Viongozi wote wa CHADEMA katika ngazi zote hakuna anyelipwa mshahara kwa sasa isipokuwa watendaji wa Makao Makuu tu.ndio wanapata posho kidogo za kujikimu kwa mwezi.

O.k. mkuu. Uta nisamehe kama nitakua na maswali mengi. Je source of icome ya CHadema ni ipi na wale viongozi ambao siyo wabunge nk wana jikumu vipi kimaisha? Ina maana wanakua na kazi zingine nje ya chama. Am I right? Na je hizo "posho ndogo sana" waweza tufafanulia ni kiasi gani mkuu?
 
Wakuu nimeona nivema nikawapa majina ya kamati kuu mpya ya CHADEMA ili wale wasioifahamu basi waifahamu.

1.Freeman Aikael Mbowe -Mwenyekiti
2.Said Amour Arfi (MB)- M/Mwenyekiti Bara
3.Said Issa Mohamed- M/mwenyekiti Zanzibar
4.Dr Wilbrod Peter Slaa- Katibu Mkuu
5. Zitto Zuberi Kabwe- Naibu Katibu Mkuu Bara
6.Hamad Mussa Yusuph-Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
6. Edwin Mtei- Mwenyekiti Mstaafu
7.Bob N Makani- Mwenyekiti Mstaafu
8.Philemon Ndessamburo(MB)
9.Mhonga Said Ruhanywa (MB)
10.Shaban Mambo-Mwenyekiti Umoja wa Madiwani
11.Lazaro Massai-Mwenyekiti wa Halmashauri Karatu
12.Philip Shelembi
13.Susan Lyimo(MB)
14.Mwanamrisho Abama-Zanzibar
15.Prof Mwesiga Baregu
16.Dk Kitilla Mkumbo
17.Nassor Ally Salim -Zanzibar
18.Regia Estelatus Mtema- Mjumbe mdogo kuliko wote kwa kuchaguliwa
19.Shida Salum Bitaliho
20.Leticia G Mosore-Mwenyekiti -Baraza la Wanawake CHADEMA(BAWACHA)
21.Susan H Kiwanga
22.Grace Kiwelu(MB)
23.Paul Herman Sule- Katibu wa Umoja wa Madiwani
24.Charles Mwera(MB) na Mwenyekiti wa Halmashauri Tarime
25.Nyangaki Silungushela- Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA
26.John Mnyika-Mkurugenzi
27.John Mrema-Mkurugenzi
28.Benson Kigaila-Mkurugenzi
29.Msafiri Mtemelwa-Mkurugenzi
30.Victor P Kimesera-Mkurugenzi

- Saafi sana, kumbe kina Dr. Kitila wanaowakilisha kizazi kipya wapo huko, ninasema saafi sana, na huu ni mfano wa kuigwa yaani kuwapa vijana wasomi na bold nafasi za kushiriki kwenye maamuzi muhimu ya taifa letu politically, inatia moyo sana na kwa hili Chadema mnastahili pongezi.

- Ninasema hivyo kwa sababu we all know, jinsi Dokta alivyo-independent kimawazo na sometimes huenda mpaka nje ya mstari wa chama ku-speak his mind tena kwenye level za intellectualism na hasa masilahi ya taifa.

- Bravo Dk. Kitila!

Respect.

FMEs!
 
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.

Chadema kuna udini sana
.
 
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.

Chadema kuna udini sana
.

Nafasi nyingi kama sii zote kwenye kamati kuu ni za kuchaguliwa siyo kuteuliwa. Kwa hiyo mtu ana gombea na ana chaguliwa. Je umejiuliza kwanza ni waislamu wangapi waliji tokeza kugombea hizo nafasi? Na je hata kama wali gombea na hawa kuchaguliwa utasema ni upendeleo? Maana sasa naona watu mmezidi. Mara Chadema chama cha Wachaga mara chama cha wakatoliki etc. Acheni mentality ya kidini katika kila kitu.
 
Wakristo wamejazana humo na hao waislamu wachache (token muslim) wameingia kwa kile kinachoitwa nafasi zao.

Chadema kuna udini sana
.

Eddie, ikiwekwa kamati kuu ya CUF utasema imejaa waislamu? Nadhani distribution ya uwakilishi umetokana na maeneo ambapo CHADEMA ina nguvu/ uwakilishi zaidi. GenderSensitiv ameweka ufafanuzi wa vigezo vya kuwepo kwenye hiyo kamati kuu, dini si mojawapo ya vigezo.

Stop hating, bro. Tunajaribu kujenga, usibomoe! Hatutafika popote.
 
Ukitaka ya CUF anzisha thread yake tutakuja kuchangia hapa ni ya Chadema
 
Nafasi nyingi kama sii zote kwenye kamati kuu ni za kuchaguliwa siyo kuteuliwa. Kwa hiyo mtu ana gombea na ana chaguliwa. Je umejiuliza kwanza ni waislamu wangapi waliji tokeza kugombea hizo nafasi? Na je hata kama wali gombea na hawa kuchaguliwa utasema ni upendeleo? Maana sasa naona watu mmezidi. Mara Chadema chama cha Wachaga mara chama cha wakatoliki etc. Acheni mentality ya kidini katika kila kitu.

MwanaF, ni kweli kabisa. Sasa hivi kila kitu watu hawataki kufikiria beyond udini. Kuna element ya inferiority complex, nilishasema tena.
 
Mkuu Gender Sensitiv,

Asante kwa ufafanuzi wako kuhusu uwakilishi wa wenyeviti wa halmashauri zinazoongozwa na Chadema.

Nimeona kuna nafasi za wenyeviti wa Baraza la Wazee na Baraza la Wanawake, je, hakuna nafasi ya uwakilishi wa vijana?
 
Ukitaka ya CUF anzisha thread yake tutakuja kuchangia hapa ni ya Chadema
Mimi sina info yoyote ya CUF kutosheleza kuanzisha thread. Hata kama hii thread ni ya CHADEMA don't hate! Halafu wewe ndio unaonekana mdini. Kwa statement yako ulioweka kuwa "Waislamu tokeni". Na wakitoka utasema tena kingine. Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!

Nani aliekuudhi na kukufanya kuwa na chuki namna hii bro? We are TANZANIANS, for God's sake! We already have divisions, don't help to make this one on religion deeper.
 
Pasco
Moja Asante kwa maoni mazuri. Pili naomba unifafanulie hapo nilipoweka RED sijakupata.
Nimesema Kamati Kuu ya Chadema ina baadhi ya vichwa makini na makapi ni wale waliongia CC huku wapo wapo tuu, kama Kafulila asingeboronga, naye angeukwaa ujumbe wa CC Chadema.
 
Mimi sina info yoyote ya CUF kutosheleza kuanzisha thread. Hata kama hii thread ni ya CHADEMA don't hate! Halafu wewe ndio unaonekana mdini. Kwa statement yako ulioweka kuwa "Waislamu tokeni". Na wakitoka utasema tena kingine. Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!

Nani aliekuudhi na kukufanya kuwa na chuki namna hii bro? We are TANZANIANS, for God's sake! We already have divisions, don't help to make this one on religion deeper.

Tatizo ni shule na sitoacha kulisema hilo. Hukuelewa niliposema kuna "token muslims" sikumaanisha watoke lol.

Kazi kweli kweli
 
Tatizo ni shule na sitoacha kulisema hilo. Hukuelewa niliposema kuna "token muslims" sikumaanisha watoke lol.

Kazi kweli kweli

Kazi gani? If only you knew! English is not a problem for me, kid. Failing to understand what you write does not translate into lack of knowledge of English or whatever else you are implying.

And the other thing is you lack courtesy. Not once have I insulted you.

You need help
 
Hivi unafahamu kuwa Ukristo sio jina? Usione jina kama Bob Makani ukadhani lazima ni mKristo!

Unajua Mkuu, ni wengi tu wanaamini hivyo - what's in a name ? Bob alipokuwa mwenyekiti wa Chadema alikuwa akiingia msikitini lakini hadi leo kuna watu hawaamini ni mwenzao kiimani. Kaazi kweli kweli !
 
Guys just ingore this man Eddy na tuendele na mjadala maana anataka kutuyumbisha . Mawazo ya waliomtuma wanao imba kila mara Chadema, ukabila na CUF udini anaya endeleza . Jengeni tabia ya kuacha ku quote mawazo mgando ila mawazo endelevu ili kuupa mjadala maana .
 
Umejibu kishabiki zaidi kuliko ukweli halisi...

Mkuu ushabiki ni upi hapa ?

CUF bara haina nguvu kabisa ila ina nguvu Zenji sawa na Chadema iko kwa mujibu wa katiba Zanzibar ila haina nguvu sawa na CCM haina nguvu Pemba ndiyo maana majeshi hutumika na polisi kupiga kura na bado wanashindwa wanaamua kutangaza matokeo . Nimeshabikia wapi mkubwa wangu ?
 
Back
Top Bottom