Yaliyonipata Muhimbili baada ya kifo cha mwanangu siku ya tar03.03.2012!!!!!

Oh yes,offcourse,alituomba tumpeleke muhimbili!
Huyo sio daktari na wala sio nesi, bali ni kanjanja wa taaluma tu, mtu mwenye akili timamu bila kujali kwamba ni mtaalamu wa afya angekushauri uende hospital ya Wilaya au Private hospital kama Dar Group au zinazoendana kiwango na hiyo.
 
Muhimbili kwa ajili ya ugonjwa wa marelia tu, hivi mnafahamu maana ya Hospital ya rufaa? unalazimisha Jaji aje kusikiliza kesi kwenye mahakama ya mwanzo?

pale muhimbili kuna kitengo cha emergence,kama mgonjwa ni mahututi huna kipingamizi kumpeleka,wangu alikua anahitaji hewa ya oxjeni.
Umeweka read kama kuonyesha huamini kama kweli likukua nazunguka na mwanangu kumtafuta muhusika,naomba uje kwangu banana nikuonyeshe picha nilizopiga kupitia simu yangu ya mkononi nikiwa nimebeba maiti ya mwanangu,kuhusu kikao chao mm sijui na wala siitaji kujua kiliisha saa ngapi,mwisho kabisa nawe ipo siku yatakukuta haya.
 
Pole sana, walioshindwa kumaliza mgomo katika hatua za awali wapewe lawama zote
 
ndugu yetu spika pole kwa mazito yaliyokukuta!! nataka ujue system imeoza,kuanzia huko mpaka chini,inabidi tushikamane watanzania wote ili tuweze kuiondoa hii system na kuweka mpya,tusipofanya hivyo tutabaki kama tulivyo miaka nenda rudi!
 
Pole sana kwa msiba!.

Kila kitu hupangwa na Mungu. Yule malaika mtoa roho, "Israel", huipitia kila nafsi mara sabini fii saba kwa siku ili kuhakikisha ile saa iliyopangwa, haipiti hata sekunde moja!. Hivyo naomba nikupe pole kwa kukumbusha uzingatie kilichomtokea mwanao mpenzi ndio ilivyokuwa mipango ya Mola!.

Tuendelee kujikabidhi kwa Mungu na kuwaombea al marhum wote walioitwa na umaut kwa namna yoyote ile ikiwemo mgomo na kumuomba atuepushie shari la mgomo mwingine ili kuzisijihisha nafsi zetu kuwa vifo hutokana na Mola na sio binadamu!

Poleni tena wafiwa!
RIP Mwanetu Marriam Ally!
Pasco nimeona ume like post ya mfiwa.....sijui umependa nini?
 
pale muhimbili kuna kitengo cha emergence,kama mgonjwa ni mahututi huna kipingamizi kumpeleka,wangu alikua anahitaji hewa ya oxjeni.
Umeweka read kama kuonyesha huamini kama kweli likukua nazunguka na mwanangu kumtafuta muhusika,naomba uje kwangu banana nikuonyeshe picha nilizopiga kupitia simu yangu ya mkononi nikiwa nimebeba maiti ya mwanangu,kuhusu kikao chao mm sijui na wala siitaji kujua kiliisha saa ngapi,mwisho kabisa nawe ipo siku yatakukuta haya.
You qout a wrong member in your reply with quot, binafsi mimi huu ni mwezi wa pili namuuguza mama yangu mzazi pale MOI Muhimbili, hatupo hapa kufanyiana kejeli bali nitatoa mchango wangu katika kile ninachokifahamu.
 
Ndg zangu wana JF nadhani niliwapa taarifa juu ya kifo cha mwanangu mpendwa "MARIAM ALLY"aliyefariki siku ya j,mosi usiku.
Mwanangu alikua na umri wa miezi 9 hv,alianza kuugua malaria siku ya tar 29.02,usiku,tukampeleka dispensary alfajiri ya tar 1.3 na akapata vipimo na kuandikiwa doz ya malaria bcoz alikua na malaria "2".

Aliendelea na doz mpaka siku ya tar 3 asubuhi nilipogundua kama anaupungufu wa maji mwilini,tukamrudisha dispensary ile ile kwa ajiri ya kumcheki tena,baada ya kumcheki dk alisema amepungukiwa maji kwahiyo anatakiwa kupewa drip,alitundikiwa drip kuanzia majira ya saa 5 asubuhi,ilipofika majira ya saa 12 jioni dr akatupa rufaa kwenda muhimbili, nilikodi tax na tukafika muhimbili ndani ya muda muafaka,nilipokelewa na dr1 hv bwana mdogo na alijaribu kunisaidia ili tumuwaishe kwenye oxsijen lakini ilishindikana maana madaktari walikua na kikao cha kupanga mgomo mpya.

So mwanangu akawa amefariki kwenye mikono ya mamake,nilishukuru mungu kwa yote, sasa nikaanza utaratibu wa kutoa maiti kuipeleka mochwari,ilituchukua kama dk 40 hv kupewa kibali cha kuipeleka mochwari,still bado haikua problem sana kwangu.

Sasa kilichonikera na kunisikitisha ni baada ya kufika mochwari sikumkuta muhusika wa mochwari na sasa ikanibidi kuzunguka kumtafuta muhusika huku nikiwa nimeibeba maiti ya mwanangu mikononi,punde alifika ndg yangu mmoja niliyekua nimempigia simu aje kunichukua na gari yake bcoz wife tayari alikua ameshachanganyikiwa,so ilibidi mimi nikae kwenye mrango wa mochwari kwa takribani masaa hv ili kumsubili muhusika na ndg yangu huyo pia akaanza kumtafuta na kumpata baada ya masaa 2 hivi.

Baadae niligundua kwamba madaktari walikua bado wanaendelea na kikao cha mgomo uliopangwa kuanza j5 nchi nzima,
Sasa ni swali kwa wana JF, Jee kama hayo yanatokea muhimbili jee sisi tusio na uwezo wa kwenda INDIA tutapona kweli???

Naombeni comments.

Wana JF,
Kwangu this is Horrifying situation ukilichukua juu tuuu ilimradi lipite kwa wengine ni sawa ila chukuwa hili jambo kama limetokea kwa ndg yako wa karibu kabisa then lipokee uone.

kwanini nasema hivyo kauli za viongozi wetu wa juu zina tuuua kabisa kwamfano hiii kauli in red sijui kama ina ukweli ndani yake au ni unafiki mtupu
“Leo (Februari 29), Mheshimiwa Waziri Mkuu amenipa taarifa kuwa kamati aliyounda kushughulikia madai ya madaktari imekamilisha kazi yake na kuwasilisha taarifa yake kwake. Kuanzia kesho (Machi, Mosi), Serikali itaifanyia kazi taarifa hiyo na kuamua ipasavyo kulingana na uwezo uliopo. Ninawaomba ndugu zetu madaktari kuwa na moyo wa subira.”Rais Kikwete alisema Serikali inatambua, inajali na kuthamini kazi za madaktari na watumishi wengine wa sekta ya afya katika kulinda na kudumisha afya za Watanzania hivyo itajitahidi kuona kuwa inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kuwa mgomo haujirudii tena.

Kume kuwa na uhuni mtupu katika serikali yetu matumizi ya nchi yamekuwa ya kihuni huni tuu na hata mkaguzi wa mahesabu wa serikali Ludovi nae ni msaniii tuuu serikali siku zote yenyewe imejitakasisha kupita kiasi sasa kumbe yenyewe ndio muozo mtupu haya ya madaktari JK na Pinda wana tufanyia usanii hapa maisha ya watanzania yana teketea na matokeo yake ati tuna ona madakatari ni wabaya huku hawa madaktari wanatakiwa kuwa katika maisha bora ili kulitumikia taifa Daktari ni kama gari usipo lifanyia service basi hata utendajikazi wake utakuwa wa kusukumaaaa weee na ipo siku litagoma kuwaka na ndio huo mfano kwa madaktari wetu. we angalia huko wizarani pesa zinavyochezewa

pale muhimbili kuna kitengo cha emergence,kama mgonjwa ni mahututi huna kipingamizi kumpeleka,wangu alikua anahitaji hewa ya oxjeni.
Umeweka read kama kuonyesha huamini kama kweli likukua nazunguka na mwanangu kumtafuta muhusika,naomba uje kwangu banana nikuonyeshe picha nilizopiga kupitia simu yangu ya mkononi nikiwa nimebeba maiti ya mwanangu,kuhusu kikao chao mm sijui na wala siitaji kujua kiliisha saa ngapi,mwisho kabisa nawe ipo siku yatakukuta haya.
Spika nafiri huyo aliye kuwekea red sio kwamba haamini bali anaona ni maeneo yenye matatizo au yana hitaji maelezo zaidi ya kitaalamu, kwa kifupi mtu akihitaji oxygen basi tatizo lake linawezekana halikuwa malaria bali kitu kingine, kwa hiyo kule ulipo mpeleka mwanzo walichukulia tu yale magonjwa yetu ya kawaida, malaria, kuhara, typhoid na kuendelea, hivyo huyo doktari baada ya kuona ameshindwa ndipo alipo amua kukuambia wahi muhimbili. kuna rafiki yangu moja pia aliwahi kupoteza mtoto mkubwa tu kwa ajili ya upungufu wa oxygen licha ya kupata msaada wa awali wa knight support, yeye kichwa kilikuwa kina muuma. kufika muhumbili ndio hivyo tena.
kwa mara nyingine tena tunakupa pole, kwani haya yote ni matatizo yetu na usichukulie kama ni ya kwako tu.
 
Pole sana,ndugu yetu Spika,mimi nadhani wananchi tuanze kukemea kuanzia sasa,hali ya mgomo wa madaktari unaoweza kusambaa kama kifuu cha moto usisambae,yaani hawa viongozi wa serikali wangefanya kila liwezekanalo kuzuia hali hii

Hali ni tete kwa kweli lakini wananchi wanaumia kwa sababu viongozi wameamua kuweka pamba masikioni ,kama huoni usumbufu mimi naona ufungue kesi kuishitaki hospitali ya muhimbili na serikali
 
Spika nafiri huyo aliye kuwekea red sio kwamba haamini bali anaona ni maeneo yenye matatizo au yana hitaji maelezo zaidi ya kitaalamu, kwa kifupi mtu akihitaji oxygen basi tatizo lake linawezekana halikuwa malaria bali kitu kingine, kwa hiyo kule ulipo mpeleka mwanzo walichukulia tu yale magonjwa yetu ya kawaida, malaria, kuhara, typhoid na kuendelea, hivyo huyo doktari baada ya kuona ameshindwa ndipo alipo amua kukuambia wahi muhimbili. kuna rafiki yangu moja pia aliwahi kupoteza mtoto mkubwa tu kwa ajili ya upungufu wa oxygen licha ya kupata msaada wa awali wa knight support, yeye kichwa kilikuwa kina muuma. kufika muhumbili ndio hivyo tena.
kwa mara nyingine tena tunakupa pole, kwani haya yote ni matatizo yetu na usichukulie kama ni ya kwako tu.

Mazingira yanayopelekea mtu kuwekewa oxygen ni mengi sana hata matokeo ya mtoto kutokutibiwa mtoto kwa haraka yanaweza yakapelekea kupunguwa damu mwilini kwa kasi,na mtu akiwa na upungufu mkubwa wa damu anaweza kukosa kupumua kwani chembechembe nyekundu zinazosafirisha hewa huwa zimepungua sana hali inayoweza kupelekea mtu kuweka oxygen kwa muda mfupi tuu
 
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata. Kweli watakaopona ni wenye uwezo na viongozi wetu tu, sisi wengine tutamalizika kienyeji kabisa.
 
Muhimbili kwa ajili ya ugonjwa wa marelia tu, hivi mnafahamu maana ya Hospital ya rufaa? unalazimisha Jaji aje kusikiliza kesi kwenye mahakama ya mwanzo?

Haya wewe unayefahamu tuambie sasa. Unataka tuamini kuwa wagonjwa wenye malaria hawarusiwi Muhimbili au unatakaje? Je mgonjwa wa malaria hawezi kuwa refferal case? Nadhani kama kitu hukijui bora unyamaze tu.
 
Nimejikuta nabubujikwa na machozi, napenda watoto sana sasa nikijaribu kuvaa kiatu chako roho inaniuma sana, pole sana kaka yangu na umfariji wifi yangu, msisahau kumwomba MUNGU awajalie uvumilivu. POLENI SANA
 
Mheshimiwa Spika, pole kwa kufiwa na mtoto aisee. Jipe moyo mkuu.
Maisha yetu Watanzania wengi wala hayana thamani kwa Watawala, huduma mbovu za afya kwao si tishio ndio maana wengi wanapoteza maisha kwa magonjwa yanayotibika kirahisi tu.
Pole sana.
 
You are a good story-teller. You should think of writing fiction books.
 
Spika,

Kwanza kama ungelikuwa ni Boxer, ningelikuita Mohamed Ali au Tyson. Boxer mzuri ni yule anayejua kupokea Masumbwi makali na si yule anayejua kupiga tu.

Umeweza kulipokea hili pigo la kupotelewa na mwanao kiume haswa. Kuna baadhi ya vitu hadi unaanza kushangaa kuwa kwa nini binti auguwe sasa hivi na isiwe wiki moja kabla wakati Madokta walikuwa bado hawajaanza kujadili migomo?

Mwisho nikupe pole kwa kupotelewa na huyo binti wako mpendwa na kuwa mmoja ya waathirika wa serikali mbovu iliyopo sasa hivi madarakani. Mungu awape nguvu Nduguzo na familia nzima katika kipindi hiki kigumu na hasa Shemeji yetu ambaye najua atakuwa katika kipindi kigumu sana. Kwako labda niseme tu azidi kukupa nguvu zaidi kwani hadi sasa kama nilivyosema, naona unagigana kwa nguvu kweli na hata kama unalia, wanasema unalia huku unadunda.

Ulale salama binti yetu huko ulikotangulia.
 
Muhimbili kwa ajili ya ugonjwa wa marelia tu, hivi mnafahamu maana ya Hospital ya rufaa? unalazimisha Jaji aje kusikiliza kesi kwenye mahakama ya mwanzo?

Malaria is an infectious disease caused by the parasites called Plasmodia. There are five identified species of this parasite causing human malaria, namely, Plasmodium vivax, P. falciparum, P. ovale, P. malariae and P. knowlesi. It is transmitted by the female anopheles mosquito. It is a disease that can be treated in just 48 hours, yet it can cause fatal complications if the diagnosis and treatment are delayed. It is re-emerging as the # 1 Infectious Killer and it is the Number 1 Priority Tropical Disease of the World Health Organization.

Known since millennia, malaria has played a major role in the history of mankind and it is often said that but for malaria, the history and geographical demarcations of our planet would have been different from what we have today. And malaria continues to wreak havoc on millions, particularly in the poorest parts of our world.
Malaria is the fifth cause of death from infectious diseases worldwide (after respiratory infections, HIV/AIDS, diarrhoeal diseases, and tuberculosis) and the second in Africa, after HIV/AIDS.

From:
Malaria Site: What is Malaria - Intoduction, Burden of Malaria
 
Back
Top Bottom