Yaliyonikuta leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyonikuta leo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Washawasha, Feb 1, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari dhenu wana grit thinka,leo nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki nilikutwa na kasheshe c kitoto,nilikuwa ndani ya 5 5 inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa nimekaa na dada mmoja Mashallah M/mungu kampa mzuri,mgongo anao yaani cfa zote uzijuazo wewe yeye anazo.

  Basi kufika njia panda ya Kagera bibie akawa anataka kushuka lkn baada ya kujisachi akajiona hana pochi lake la kuwekea mahela,basi kwa kuwa mimi ndiye niliyekuwa nimekaa naye,salaba la lawama likanianguakia mimi,lkn kwa kweli mimi ckumuibia,baada ya zogo la hapa na pale Dereva akaamua kupeleka gari Kituo cha polisi Magomeni,kwa kuwa mimi ni choka mbaya bac hata mavazi yangu nayo ndiyo usiseme,basi Polisi wakaanza kunipiga ili nitoe pesa wakanisachi lkn hawakunikuta na hizo fedha zilizoibiwa.baada ya kipigo cha hapa na pale mara cmu ya yule dada ikaanza kuita na mazungumzo yalikuwa hivi:

  MUME:Mpenzi vp mbona umeacha pochi lako la hela nyumbani sasa utalipaje nauli ya bac?
  MKE:he!pochi nimelisahau nyumbani?bac hapa niko kituo cha polisi cha Magomeni na mtu niliyedhani kaniibia na anakula mkong'oto.
  Yule mwanamke akawaomba polisi waache kunipiga kwasababu cjamuibia ila pochi lake kalisahau nyumbani,basi yule mwanadada mrembo akaja kuniomba msamaha.
  MKE:Samahani kaka yangu kwa yaliyokutokea mie nitakulipa Tsh 100,000 mume wangu akiniletea hela
  MIMI:sitaki wewe umenidhalilisha na polisi kunipiga hivi mie nishachelewa kwenye mitkasi yangu
  MKE:samahani ila ndio nataka nikulipe kwa kukuchelewesha kwenye mitkasi yako nitakulipa 1,000,000/
  MIMI:nikajibu kwa hasira huku naendelea kulia(nimesema sitaki hiyo hela)
  POLISI:dada huyu kijana tumemdhalilisha vya kutosha sababu yako,sasa itabidi umuongeze hela c unamsikia anavyokataa,hiyo 1,000,000/ni ndogo inabidi umuongeze,ngoja niongee nae
  Polisi ikabdi aje kuongea na mimi
  POLISI:Kijana kama unavyoona huyu dada hela anayo na atatoa hela nzuri tu tukimkomalia halafu tukagawana sisi na wewe,sasa sema unataka bei gani ili akulipe
  MIMI:TSh 500 ya nauli ili nirudi nyumbani
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaaaaahhhh!!! Nadhani hapo polisi aliendelea kutoa kipigo kwa hasira..........
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hujatulia broda eeh?...
  Unakataa ng'ombe unapokea simbilisi?
   
 4. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  500 urudi nyumbani kufanya nini?
  Hah hah
   
 5. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli wewe ni mzalendo, but u can imagine jinsi polisi wetu walivyokuwa na njaa yaani wanataka kula kupitia mgongo wako
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nikajichue na maji moto c unajua vrungu vya polisi kaka vnavyouma
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dah, nimecheka kweli japo nilipaswa kukuonea huruma. Pole mkuu! Ndo ya bongo hayo!
   
 8. g

  gudgirl Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heheeeeeeeeee.pole lakini natamani nikuone na mangeu yako.ila ungepokea tu za kwenda kunua plaster,detol
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu jamaa anajifanya siyo fisadi!
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Heee! makubwa!
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nitatu100 maji moto na chumvi kupoza mangeu,pia nina salimia kdogo imebakia nyumbani itanisaidia
   
 12. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kwel tena inaonyesha ulipigika ile mbaya na ukala kesi nyngne tena hapo papo
   
 13. g

  gudgirl Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa labda nikuulize kwanini ulikataa?


  ila kama ni kweli ubarikiwe!
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  good man,nchi hii ingekuwa na watu wazuri kama wewe hasa wa jinsia ya kiume tungekuwa mbali....
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  najibu hiyo namba 1,nilikataa sababu sijawahi kuishika hela hiyo ningekuwa chizi baada ya kupewa, pia zipu ingekuwa haifungi tena maana c unajua uswahilini NANILIYU ilivyokuwa bei rahisi hasa ktk vibanda vya gongo na ningekuwa nalewa kila thiku.
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Uzalendo wa hali ya juu....huo kweli heshima ya mtu haiwezi kununulia. Jamaa hapa alionyesha kuwa kwa alichomsababishia huyo dada hata angemlipa kiasi gani cha fedha hakitaweza kumsafisha.Pole sana man
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kiongozi wangu
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Lofa kweli.:A S thumbs_down:
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280

  april mbaliiiiii
   
 20. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hahahahahahahah kwlei wewe muungwana!
   
Loading...