Mikasa: Mrembo Kanivuruga

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
..
nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki
nilikutwa na kasheshe si kitoto, nilikuwa ndani ya Daladala
inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa
nimekaa na dada mmoja Mashallah M/mungu kampa
mzuri mgongo anao yaani sifa zote uzijuazo wewe yeye anazo. Basi kufika njia panda ya Kagera bibie
akawa anataka kushuka lakini baada ya kujisachi
akajiona hana pochi lake la kuwekea mahela, basi
kwa kuwa mimi ndiye niliyekuwa nimekaa
naye, salaba la lawama
likanianguakia mimi,lakini kwa kweli mimi sikumuibia,baada ya zogo la hapa na pale Dereva
akaamua kupeleka gari Kituo cha polisi
Magomeni, kwa kuwa mimi ni choka mbaya basi hata
mavazi yangu nayo ndiyo usiseme, basi
Polisi wakaanza kunipiga ili nitoe pesa wakanisachi
lakini hawakunikuta na hizo fedha zilizoibiwa.baada ya kipigo cha hapa na pale mara simu ya yule dada
ikaanza kuita na mazungumzo yalikuwa hivi:

MUME: Mpenzi vipi mbona umeacha pochi lako la hela
nyumbani sasa utalipaje nauli ya basi?
MKE: he! pochi nimelisahau nyumbani? basi hapa niko
kituo cha polisi cha Magomeni na mtu niliyedhani kaniibia
na anakula
mkong'oto. Yule mwanamke akawaomba polisi
waache kunipiga kwasababu sijamuibia ila pochi lake
kalisahau nyumbani basi yule mwanadada mrembo
akaja kuniomba msamaha. MKE: Samahani kaka yangu kwa yaliyokutokea mie
nitakulipa Tsh
100,000 mume wangu akiniletea hela

MIMI: sitaki wewe umenidhalilisha na polisi kunipiga
hivi mie nishachelewa kwenye mitkasi yangu

MKE:samahani ila ndio nataka nikulipe kwa kukuchelewesha kwenye mitkasi yako
nitakulipa 1,000,000/
MIMI: nikajibu kwa hasira huku
naendelea kulia(nimesema sitaki hiyo hela)

POLISI: dada huyu kijana tumemdhalilisha vya kutosha
sababu yako, sasa itabidi umuongeze hela si unamsikia anavyokataa,hiyo 1,000,000/ ni
ndogo inabidi umuongeze,ngoja niongee nae..
Polisi
ikabidi aje kuongea na mimi

POLISI: Kijana kama unavyoona huyu dada hela anayo
na atatoa
hela nzuri tu tukimkomalia halafu tukagawana sisi na wewe, sasa
sema unataka bei gani ili akulipe

MIMI: TSh 500 ya nauli ili nirudi
nyumbani
 
pambaf
 
upumbaf upo wapi hapo?
Sijasema upumbaf, nimesema pambaf, unasema uko wapi we unafikiri huyo mwanadada katenda haki. Mi kuna mdada aligonga gari langu sasa kwakuwa gari langu ni 4X4 na lake ni hutu tu vits, lake liliumia akadai kuwa mimi ndo nilikuwa mwenye makosa, wapita njia wakajaza nzi na kutaka kunipaka shombo, nikamwambia mdada anifuate nyuma nikampeleka garage akarekebishiwa gari yake, kwa kuwa ilikuwa mchana nikampeleka na lunch, nikaomba namba za simu kisha siku ya siku alilipia gharama zangu vizuri kabisa mpaka akaomba poo.
 
Hahahhaahha kudadeki walai... Haaa
 
yani watoto watoto kama wewe humu mko wengi sana.. halafa hamkui bado..mtengenezwe jukwaa lenu huko
 
Mzee umecopy wap hiyo na kuja kuipaste huku??!!
Kiukwel story zako huwa sizielew kabsa
 
Back
Top Bottom