Yaliyonikuta leo

Kuna kauongo ndani yake thats why nasema si kweli coz wadada huwa wanaweka visimu vyao katika hivyo vipochi. Hebu edit tena hiyo longolongo yako. Bongo watu ni wepesi sana kuamini thats why kuna dini nyingi sana.
 
Habari dhenu wana grit thinka,leo nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki nilikutwa na kasheshe c kitoto,nilikuwa ndani ya 5 5 inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa nimekaa na dada mmoja Mashallah M/mungu kampa mzuri,mgongo anao yaani cfa zote uzijuazo wewe yeye anazo.

Basi kufika njia panda ya Kagera bibie akawa anataka kushuka lkn baada ya kujisachi akajiona hana pochi lake la kuwekea mahela,basi kwa kuwa mimi ndiye niliyekuwa nimekaa naye,salaba la lawama likanianguakia mimi,lkn kwa kweli mimi ckumuibia,baada ya zogo la hapa na pale Dereva akaamua kupeleka gari Kituo cha polisi Magomeni,kwa kuwa mimi ni choka mbaya bac hata mavazi yangu nayo ndiyo usiseme,basi Polisi wakaanza kunipiga ili nitoe pesa wakanisachi lkn hawakunikuta na hizo fedha zilizoibiwa.baada ya kipigo cha hapa na pale mara cmu ya yule dada ikaanza kuita na mazungumzo yalikuwa hivi:

MUME:Mpenzi vp mbona umeacha pochi lako la hela nyumbani sasa utalipaje nauli ya bac?
MKE:he!pochi nimelisahau nyumbani?bac hapa niko kituo cha polisi cha Magomeni na mtu niliyedhani kaniibia na anakula mkong'oto.
Yule mwanamke akawaomba polisi waache kunipiga kwasababu cjamuibia ila pochi lake kalisahau nyumbani,basi yule mwanadada mrembo akaja kuniomba msamaha.
MKE:Samahani kaka yangu kwa yaliyokutokea mie nitakulipa Tsh 100,000 mume wangu akiniletea hela
MIMI:sitaki wewe umenidhalilisha na polisi kunipiga hivi mie nishachelewa kwenye mitkasi yangu
MKE:samahani ila ndio nataka nikulipe kwa kukuchelewesha kwenye mitkasi yako nitakulipa 1,000,000/
MIMI:nikajibu kwa hasira huku naendelea kulia(nimesema sitaki hiyo hela)
POLISI:dada huyu kijana tumemdhalilisha vya kutosha sababu yako,sasa itabidi umuongeze hela c unamsikia anavyokataa,hiyo 1,000,000/ni ndogo inabidi umuongeze,ngoja niongee nae
Polisi ikabdi aje kuongea na mimi
POLISI:Kijana kama unavyoona huyu dada hela anayo na atatoa hela nzuri tu tukimkomalia halafu tukagawana sisi na wewe,sasa sema unataka bei gani ili akulipe
MIMI:TSh 500 ya nauli ili nirudi nyumbani

hahahaahahaa....FUNDI wewe ni mwana philosophy no doubt....
 
POLISI;pumbafu na akiri zako mbofu utaendelea kusota humu.tena we ndo kna RB yako hapa ni maarufu sana tandare yote kwa wizi wa kuku!
 
brother umenchekesha sana na wakati mwanzo ilikuwa naona huruma iabidi ncee tu any way kwa leo ndio nimecheka sana na kufurahi hahahahah
 
Back
Top Bottom