Yaliyonikuta leo

najibu hiyo namba 1,nilikataa sababu sijawahi kuishika hela hiyo ningekuwa chizi baada ya kupewa, pia zipu ingekuwa haifungi tena maana c unajua uswahilini NANILIYU ilivyokuwa bei rahisi hasa ktk vibanda vya gongo na ningekuwa nalewa kila thiku.
Ahahahahaaah!! Ungechukua ukaiweka hata benki.
 
kama kweli yalikutokea pole sana dear...
lakiini umenichekesha sana hapo mwisho..
hopeful ulifika home salama...
 
man acha mchezo na pesa, me ningekuwa huyo polisi ningekuendelezea kipondo, huwezi kukataa pesa.
Ungekuwa Moshi tungekupiga marufuku usirudi mtaani ukae hukohuko polisi, huwezi kukataa pesa bana.
 
man acha mchezo na pesa, me ningekuwa huyo polisi ningekuendelezea kipondo, huwezi kukataa pesa.
Ungekuwa Moshi tungekupiga marufuku usirudi mtaani ukae hukohuko polisi, huwezi kukataa pesa bana.
Pesa cjaikataa c nimechukua 500 ! au 500 sio Pesa huko kwenu MOTO samahani namaanisha MOSHI?
 
Washa washa umesema mtoto ni bomba we ungeomba namba yake ya simu.akili ikikaa vema utajua cha kuongea naye
cmu cna Ndio kwanza nimenunua face Ndio nazichanga ninunue betri na vfaa vingine Mpaka cmu itimie
 
Uyasemayo ni kweli. Du nimekufagilia sana, maana pesa ilivyokua kila kitu sku izi. Mmebaki wachache sana mtu wangu, sana sana
 
aisee we unaijua fasihi, nimeipenda hadithi yako umepangilia vizuri vipi ina muendelezo? angalizo shigongo yupo humu ndani kesho utaikuta gazetini
 
nilikuwa najua huyu washawasha si mzima,nimethibitisha alivyomalizia stori ,ILA UMETISHA,mimi nilijua hutaki hela unataka mgegedo kumbe inshu jero?
 
washa×2 ungepokea af ungetangaza humu jf nani antaka pesa watu tungejitokeza umenileti dauni ntake radhi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom