Yaliyonikuta leo

Kuna kauongo ndani yake thats why nasema si kweli coz wadada huwa wanaweka visimu vyao katika hivyo vipochi. Hebu edit tena hiyo longolongo yako. Bongo watu ni wepesi sana kuamini thats why kuna dini nyingi sana.
sawa nita edit.
Nalog off
 
man acha mchezo na pesa, me ningekuwa huyo polisi ningekuendelezea kipondo, huwezi kukataa pesa.
Ungekuwa Moshi tungekupiga marufuku usirudi mtaani ukae hukohuko polisi, huwezi kukataa pesa bana.
si nimekubali 500?
Nalog off
 
aisee we unaijua fasihi, nimeipenda hadithi yako umepangilia vizuri vipi ina muendelezo? angalizo shigongo yupo humu ndani kesho utaikuta gazetini
kumbe shigongo ni mwizi?
Nalog off
 
nilikuwa najua huyu washawasha si mzima,nimethibitisha alivyomalizia stori ,ILA UMETISHA,mimi nilijua hutaki hela unataka mgegedo kumbe inshu jero?
jero ndio kila kitu.
Nalog off
 
hapo afande angekutia virungu na kukutupa selo kwa kosa la uzembe na uzururaji maana umemkosesha ulaji
 
Back
Top Bottom