Afadhali ayaanzishe wakiwa wanaonana 😂Sasa workmates wake ndio sio wanawake wa mitandaoni?
Ngoma ipo mwilini mwa mtu na sio mazingira aliyopo mtu...
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hapa umeharibu mitego kibao,,,, na umeokoa maisha kibao.....ole wetu......Huyo dada ni member mwenzetu na sasa anausoma huu ujumbe ila siwezi kumwanika.
Bila shaka sio mimi.
-Kaka yako muwazi kwako...anakuambia hadi ya chumbani.
HahahaWe mapenzi ya dhati mbele ya ngwe ngwe[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Eti nasikia malaria inaua mtanzania mmoja kila baada ya dkk 5.Sikutishi auntie wangu!
Ukimwi upo na unaua! Na hata humu upo na unaangamiza!
Hahahaha.
Yaani hii comment imenichekesha mno 😀😀😀Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio.Kwanza hisia zitatoka wapi kwenye hilo tendo maana akili itakuwa upande wa najiuwa mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anaeweza kwa urahis... hii ishu inahitaji deep counseling ndio maana nakasema angepata washauri wazuri wangemshauri kama walivyoshauriwa wengine na wakaweza kuishi hyo hali sio kitu kirahisi lkn kinafanyika na watu wanafanikiwaMkuu jaribu kuvaa Viatu vya huyo jamaa je wew ungeweza unajua kabisa bibie kaungua ni zaidi ya kuvaa bomu
Kwamba makali ya ngoma yatakuwa yamepungua?Afadhali ayaanzishe wakiwa wanaonana [emoji23]
Huwa najiuliza kama siku ile nilipo kuwa nasubiria majibu yangu ya damu mapigo yangu ya moyo yalikuwa vile je ningeambiwa ninao nahisi hata mwenzi mmoja nisingefika ningekufa kwa mawazo kabla ugonjwa hujaanza kunishambulia.Haya mambo yasikie tu kwa mwenzio.
Ahahahah!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Director alikuwa anawahi kutoa taarifa jamani.
Acha kumdanganya shangazi yako.Sikutishi auntie wangu!
Ukimwi upo na unaua! Na hata humu upo na unaangamiza!
Nimekuelewa mkuu yataka ujasiri mkubwa mno.Hakuna anaeweza kwa urahis... hii ishu inahitaji deep counseling ndio maana nakasema angepata washauri wazuri wangemshauri kama walivyoshauriwa wengine na wakaweza kuishi hyo hali sio kitu kirahisi lkn kinafanyika na watu wanafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
1 -Wagonjwa wa ngoma wana dalili nyingi sana mwambie kaka yako awekeze kwenye kujifunza dalili inasaidia sana.Hakuna formular angeweza kuachwa pia kwa kusema kabla. Kama hujaelimika kuhusu HIV isikie tu kwa watu.
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.
Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".
Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.
Kwani huyu walishindwa nini kupima? Hadi wafahamiane na wabanduane walishindwa nini kupimana?Kupima ni rahisi