Yaliyomsibu kaka yangu

Rate ya Ukimwi hapa kwetu ndogo...mie nawashauri tuendelee kula raha tusiumize vichwa.


Tujisahaulishe kabisa kama Ukimwi upo...mfano wewe utanipenda kweli lile pendo la kwanza kama ukiniona tu unaona Ukimwi??
 
Labda tuhamie kwenye matango tuishi miaka mingi hahaha
Au tujitoe mhanga
Chagua moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi zote chai ingekuwa one time thing hapo kweli ila kwa miezi sita (kilaza mwingine huyo miaka5) na hamjawahi pima na mnamalengo ya kuoana kabisa dah labda ingekuwa tumekuwa wote ila cyo wa kuokotana huku mitaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jamaa alivyosema hapo juu. Kama huna HIV inatisha mkuu
Watanzania ni wanfiki sana,hapa wanajifanya wameguswa but serikali imegharamia chanjo ya hepatitis B hawataki kwenda kuchanja.safari yetu ni ndefu sana
 
Rate ya Ukimwi hapa kwetu ndogo...mie nawashauri tuendelee kula raha tusiumize vichwa.


Tujisahaulishe kabisa kama Ukimwi upo...mfano wewe utanipenda kweli lile pendo la kwanza kama ukiniona tu unaona Ukimwi??
Yaani wewe nikikuangalia tu nauona UKIMWI kabisaaaaa.
 
Mkuu jaribu kuvaa Viatu vya huyo jamaa je wew ungeweza unajua kabisa bibie kaungua ni zaidi ya kuvaa bomu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…