mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,078
- 3,142
Hata wamezeshe nondo za ainagani atawaangusha tu.huyo kifutu wao.aliefeli.form6Kidando na Chavula wapo na kazi ya kumpika shahidi, hao ndio madaktari wake kuliko hiyo TMJ.
Hata wamezeshe nondo za ainagani atawaangusha tu.huyo kifutu wao.aliefeli.form6Kidando na Chavula wapo na kazi ya kumpika shahidi, hao ndio madaktari wake kuliko hiyo TMJ.
Umeshawahi kuwa shahidi meku?Shahidi anaandaliwa nini kitu cha kusema au kubashiri maswali yatakayoulizwa?
Alafu akibananishwa anasahau kilakitu alicho fundishwa ndio safari za chooni zinaanza kujikumbusha.Mashahidi wote si ni maafande inashindikana vipi?Tatizo wanataka wawalishe uongo kwanza ndio shida ilipo.
Kwani wewe ulitakaje?Uzi umejaa mashabiki na washangiliaji
Alafu akibananishwa anasahau kilakitu alicho fundishwa ndio safari za chooni zinaanza kujikumbusha.
Uongo ni zimwi linalotisha. Shahidi ameogopa na inatia wasiwasi kama atapanda kizimbani tena. Tusubiri kuona. Ila Freeman siyo Gaidi.Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.
Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.
Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
Ameenda ambapo anaweza kupata cheti cha kufoji kuwa anaumwa na amezidiwa.Serikali haijajipanga katika hii kesi.
Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road, kwanini sense TMJ...
Kwani si alikuwa anaruhusiwa kwenda msalani kila anapotaka? Arudi kutoa ushahidi na msalani aendelee kwenda.Najaribu kuipitia kwa makini hapa Law of evidence ili nijiridhishe kama mtu mginjwa anaweza kutoa ushahidi wa kuaminika kwa 100%
Hata kwenye siasa za majukwaani mgombea mgonjwa huwa haaminiki nyakati za kampeni kwani huonekana kama anaomba huruma/ sympathy ya wapiga kura.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe na Raia mnatibiwa wapi Shahidi?Serikali haijajipanga katika hii kesi.
Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road...
Na ile tar 14 July wataipatia majibu?? Vipi kukosa Form ya kujaza Mali za Urio tar 13 august 2020?Upande wa mashitaka wanafanya hila na bahati nzuri hila hizi bado ziko kisheria. Watakachokifanya ni kukaa na shahidi na kumwelekeza maswali na majibu ya re-examination watakayofanya kwa shahidi Swila na kupanga watakayomhoji shahidi namba 12...
NIMEAMINI WAKILI NASSORO KATUGA ANAJUA SHERIA KULIKO KIBATALA KUNA KITU KIBATALA ALITAKA KUIPOTOSHA MAHAKAMA.Habari Wakuu,
Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri...
Unakumbuka ulivyomeza kile kikaratasi kupoteza ushahidi kikakuletea matatizo. Shahidi kameza kikaratasi sio kwa kuugua huku Bwashee.Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.
Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.
Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.