Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi...

Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??

Hii ni dhalili kuwa mashahidi wanapikwa na kumezeshwa cha kusema! Familia za watuhumiwa zinateseka na kupitia wakati mgumu sana dhulma hizi mnazozifanya zitatafuna hadi kizazi chenu cha nne! Mashahidi 13 wanatosha kuthibitisha jinai sitisheni ushahidi watuhumiwa wajitetee jaji atoe hukumu!
 
Najaribu kuipitia kwa makini hapa Law of evidence ili nijiridhishe kama mtu mginjwa anaweza kutoa ushahidi wa kuaminika kwa 100%

Hata kwenye siasa za majukwaani mgombea mgonjwa huwa haaminiki nyakati za kampeni kwani huonekana kama anaomba huruma/ sympathy ya wapiga kura.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.

Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.

Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
Uongo ni zimwi linalotisha. Shahidi ameogopa na inatia wasiwasi kama atapanda kizimbani tena. Tusubiri kuona. Ila Freeman siyo Gaidi.
 
Serikali haijajipanga katika hii kesi.

Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road, kwanini sense TMJ...
Ameenda ambapo anaweza kupata cheti cha kufoji kuwa anaumwa na amezidiwa.

Mazingira yote yanaonyesha kuwa anakwepa maswali mazito ya kina Kibatala. Hawezi akawa amepona jumatatu. Msalani lazima aende tu. Na “cross examination” ilikuwa imefikia patamu sana.

Kingine nachoona ni kwamba hawajazoea kuhojiwa hao maafande. Wanajiisikia kama wanadhalilishwa wakiwa kizimbani wanahojiwa. Wao wamezoea kuhoji watu na kuwatesa. Hawajazoea kuulizwa maswali magumu kuhusu uovu wanaoufanya.
 
Upande wa mashitaka wanafanya hila na bahati nzuri hila hizi bado ziko kisheria. Watakachokifanya ni kukaa na shahidi na kumwelekeza maswali na majibu ya re-examination watakayofanya kwa shahidi Swila na kupanga watakayomhoji shahidi namba 12. Hili litamlazimisha Kibatala kurudia maswali mengi sana ili shahidi ajichanganye. Sasa hata siku aliyopanga kumaliza Kibatala haitakuwa.

Sababu alizotoa wakili wa serikali ni za ajabu sana coz inaonesha kabisa kuwa hata shahidi namba 12 asingetokea kesho hata kama Kibatala angemaliza utetezi wake leo. Ni wazi shughuli yao nzima iko katika kupata muda na shahidi namba 12. Wanamhitaji shahidi namba 12 katikati au mwisho wa week ijayo!! Wameamua kutumia delaying tactic ili kurekebisha sehemu zilizoharibika.
 
Najaribu kuipitia kwa makini hapa Law of evidence ili nijiridhishe kama mtu mginjwa anaweza kutoa ushahidi wa kuaminika kwa 100%

Hata kwenye siasa za majukwaani mgombea mgonjwa huwa haaminiki nyakati za kampeni kwani huonekana kama anaomba huruma/ sympathy ya wapiga kura.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani si alikuwa anaruhusiwa kwenda msalani kila anapotaka? Arudi kutoa ushahidi na msalani aendelee kwenda.
 
Serikali haijajipanga katika hii kesi.

Walidhani same cover Kila angle matokeo yake wanapigwa matobo Hadi wanatafuta visingizio vya TMJ. Polisi Wana hosp Yao nzuri Sana kule Kilwa road...
Wewe na Raia mnatibiwa wapi Shahidi?
 
Upande wa mashitaka wanafanya hila na bahati nzuri hila hizi bado ziko kisheria. Watakachokifanya ni kukaa na shahidi na kumwelekeza maswali na majibu ya re-examination watakayofanya kwa shahidi Swila na kupanga watakayomhoji shahidi namba 12...
Na ile tar 14 July wataipatia majibu?? Vipi kukosa Form ya kujaza Mali za Urio tar 13 august 2020?
 
Habari Wakuu,

Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri...
NIMEAMINI WAKILI NASSORO KATUGA ANAJUA SHERIA KULIKO KIBATALA KUNA KITU KIBATALA ALITAKA KUIPOTOSHA MAHAKAMA.
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Zamani wakati wa mtihani tulikuwa tunakwenda kusoma " nyenzo" chooni.

Baadae chooni akawekwa mlinzi ili kutia hofu wapiga chabo.

Labda vyoo vya mahakama zifungwe camera ili kesi hii iende haraka na iishe.
Unakumbuka ulivyomeza kile kikaratasi kupoteza ushahidi kikakuletea matatizo. Shahidi kameza kikaratasi sio kwa kuugua huku Bwashee.
 
Back
Top Bottom