Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yani nipo hapa sebuleni kwangu nimerudi from church sinaga tabia ya kuangalia tbc ila leo nimeweka ili nione kinachotokea huko mbeya. YANI KUNA TAARAB INAIPONDA CDM mwimbishaji ni Hadija Koppa, watu wanakata viuno kama hawana akili timamu, majigambo mengi mara ooh ccm itaendelea kuongoza miaka mingi ila naona wanaocheza na kuitikia ni watu wasio zidi 40 halafu wamevaa sare hawa wote ------------ hii ni aibu kubwa, CHAMA CHA UDAKU

Usishangae kaka haya ndo mambo yao haya
 

Attachments

  • 1391341651690.jpg
    1391341651690.jpg
    38.9 KB · Views: 148
Tunanufaika na nini umeme juu bei za vyakula juu deni la taifa juu mlala hoi kodi juu. Kwani wewe huyafeel haya maumivu? Acha ulimbukeni unaona kama umeandika kitu cha maana.shwaaaaaain

matatizo tapo tuuu kila siku,hata chadema ikiingia madarakani matatizo yatakuwepo tuu,hata USA wenyewe wanashida sembuse hapa bongo,tulia
 
MWAKYEMBE NA ZAMBI kwanini wameongelea tu vyuo na uwanja wa ndege na kusahau barabara ya kutoka mbeya kwenda tunduma ilivyochimbika hasa maeneo ya pale mlimani?
 
Namwona mkuu mjepo anaangaika na ki mchina chake nacho kinamzingua ngoja nimsogelee nimwazime ka hp kangu alete updates za uhakika kwa faida ya watz walio nje ya mbeya.lkn pia natambua kuwa kazi yake si bure lazima adake japo buk 14(7*2) ukizingatia ameachiwa kichanga cha miezi 10 na demu wake wa mbarali aitwaye atupakisye!

mkuu nitashukuru ukiniongezea kitendea kazi chenye uwezo zaidi kweli ccm ni chama cha watu kumbe na wewe upo mkuu.
 
MWAKYEMBE NA ZAMBI kwanini wameongelea tu vyuo na uwanja wa ndege na kusahau barabara ya kutoka mbeya kwenda tunduma ilivyochimbika hasa maeneo ya pale mlimani?

hiyo ni kazi ya magufuli kila mtu na kazi yake.
 
ccm imedoda!!! hiki chama lazima kife mwaka huu,hongera lowassa kwa kuliona hilo na kuamua kufanya harakati kivyakovyako!!!

umekosa ya kuandika yaani CCM ife,na chadema itafanyaje,hata viashiria vya kufa kwa taasisi huvijui,linalokujia kichwani unaliandika duuu,hii hatari sana
 
CCM inawekeza kwa watu, CHADEMA inawekeza kwa vitu(chopa).
 
Hii kauli ya imenikuna sana - CCM ni baba, na wapinzani ni watoto, ukiona watoto wanalia lia, unaachana nao unasonga mbele kuendelea kuwatafutia mkate wa kila siku.
 
Namwona mkuu mjepo anaangaika na ki mchina chake nacho kinamzingua ngoja nimsogelee nimwazime ka hp kangu alete updates za uhakika kwa faida ya watz walio nje ya mbeya.lkn pia natambua kuwa kazi yake si bure lazima adake japo buk 14(7*2) ukizingatia ameachiwa kichanga cha miezi 10 na demu wake wa mbarali aitwaye atupakisye!

demu ndiyo nini.
 
vijana wanafurahisha kweli wameonesha umbo la mika 37.
 
Niko hapa uwanjani, nimetokea rufaa kweli watu hakuna kabisa mi naelekea foresti
 
Lakini Mkuu mbona kuna njiwa ameshindwa kuruka kati ya 37 waliorushwa, inaashiria nini?
 
Sasa anaongea nape na anasema kazi ya ccm iliyobaki ni kutafsiri uchumi kutoka kwenye makatatasi kwenda uhalisia

sisi tunaotumia digitek, tbc na star tv hazionekani toka juzi asubuhi.
 
Chama cha Watanzania gani unaowasemea? Nakama kinaadhimisha inchi mzima mbona hapa Mwanza sioni sherehe zozote au ni yoga baada yakuona kimbunga cha Cdm Jana pale furahisha wameamua kujifungia ndani?
 
Marais( ambao pia ni Wenyeviti wa CCM) Wastaafu, Makamu na Mawaziri Wakuu wastaafu wote hawakualikwa? Wamesusa?
 
Wakuu,tayari nimeshawasiliana ripota wetu mjepo nimemuazima ka hp kangu na ameahidi kuendelea kututiririshia updates za uhakika.
Amenisihi nisiseme habari za atu wake kumtoroka na kumwachia kichanga cha miezi 10 kwani nitaharibu mantiki nzima ya uzi wake. Kweli nimetii na sisemi tena habari hizi.mkuu mjepo nisamehe kaka sitarudia tena!
 
Back
Top Bottom