mkuu nitashukuru ukiniongezea kitendea kazi chenye uwezo zaidi kweli ccm ni chama cha watu kumbe na wewe upo mkuu.
Wakuu chama cha watanzania leo kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mjini mbeya kwa sasa burudani zinaendelea.
mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais na mwenyekiti wa ccm taifa mh jakaya mrisho kikwete.
viongozi wengene wa kitaifa wa ccm pia wamefika akiwemo ndg nape,kinana ambaye pia ndiye katibu mkuu wa ccm taifa mwanasiasa mwenye huruma sana na watu mwenye kujishusha siku zote kwenye kazi zake.
sherehe hizi pia zinaadhimishwa kote nchini kwa mikoa yote kwa namna tofauti tofauti.
afadhali mie nitabaki hivo hivo, wewe hutabaki na kitu kamwe!Utabak hivyo hivyo
NAPE anasema kata 27 zote uchaguzi wa madiwani ccm itachukua zote. Nasema labda waibe au waanzishe wakati m/kiti wake kamdhalilishaYaani miaka yote 37 CCM tangu izaliwe na Kupewa jukumu la kuiongoza nchi UCHUMI walikuwa wameuweka kwenya makaratasi na sasa ndio wanauweka kwa vitendo, Duh! kweli ndio maana wametufikisha hapa tulipo STU-PID kabisa.
Kwa mshahara gani au ndio pesa za Manji? Nape ni tapeli na Fisadi Zittokatibu mwenezi wa ccm taifa ametoa afa kwa kikundi cha mbozi band kurekodi nyimbo zake kwa gharama ya nape honhera nape kwa kuwaunga mkono vijana wa mbozi viva ccm.
Tunanufaika na nini umeme juu bei za vyakula juu deni la taifa juu mlala hoi kodi juu. Kwani wewe huyafeel haya maumivu? Acha ulimbukeni unaona kama umeandika kitu cha maana.shwaaaaaain
Wakuu chama cha watanzania leo kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mjini mbeya kwa sasa burudani zinaendelea.
mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais na mwenyekiti wa ccm taifa mh jakaya mrisho kikwete.
viongozi wengene wa kitaifa wa ccm pia wamefika akiwemo ndg nape,kinana ambaye pia ndiye katibu mkuu wa ccm taifa mwanasiasa mwenye huruma sana na watu mwenye kujishusha siku zote kwenye kazi zake.
sherehe hizi pia zinaadhimishwa kote nchini kwa mikoa yote kwa namna tofauti tofauti.
ifweero and MSALANI like this.
teh teh, eti rais kipenzi, angewachagulia watanzania mawaziri mizigo? Katika historia ya taifa letu, sijawahi ona rais mzigo kama jk kamwe!mwenyekiti wa ccm taifa rais jk kikwete sasa anaingia ni raha na shangwe watu wanalia kwa furaha wengine wanashangilia kumuona rais wao kipenzi.
Name calling, nakuripoti kwa mods uthibitishe vinginevyo wakushughulikeKwi! Kwi! Kwi! Umeamua ku like mwenyewe??!! Kwi! Kwi!