Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Wakati huo huo shule ina nwalimu mmoja tu. Hospitali hamna hata panadol na viongozi wanakimbilia kutibiwa ulaya. Wakati huo huo umeme umekuwa anasa. Hivi haya yote yanaongelewa hapo kweli au wanaongea vitu vingine tu ambavyo havina maslahi kwa waltz.
Sisiemu kwisha habari yake. Baada ya leo kinachofata tena ni minyukano ya urais......tehetehe....

shule gani mkuu weka picha wapi unakwama mbeya wakati kila sehemu ni lami tu.
 
Nape kaanza kumgusa mzee wa gongo kuwa kwa sasa lazima presha ipo juu lakini kazi ya kushusha presha ni ya madakatari siyo ya ccm pole slaa.
 
Yani nipo hapa sebuleni kwangu nimerudi from church sinaga tabia ya kuangalia tbc ila leo nimeweka ili nione kinachotokea huko mbeya. YANI KUNA TAARAB INAIPONDA CDM mwimbishaji ni Hadija Koppa, watu wanakata viuno kama hawana akili timamu, majigambo mengi mara ooh ccm itaendelea kuongoza miaka mingi ila naona wanaocheza na kuitikia ni watu wasio zidi 40 halafu wamevaa sare hawa wote ------------ hii ni aibu kubwa, CHAMA CHA UDAKU
 
Leo ni njano tuuuuuuuu, ni kijani tuuuuuuuuuuuuuu
 
mwenyekiti wa ccm taifa rais jk kikwete sasa anaingia ni raha na shangwe watu wanalia kwa furaha wengine wanashangilia kumuona rais wao kipenzi.
 
Watu wamesimama kumpokea kiwete, anawapungia mkono akiwa kwenye gari la wazi
 
Mm nipo hapa Sae kwa macho yangu nimeona Coaster zaid ya saba zikisomba watu kwenda kwenye mkutano zingine kutuka wilaya ya Mbalali, Tukuyu, Kyela ntc.
 
Jk anasalimiana na kinana, wananchi waliofika hapa uwanjani na viongozi kwa ujumla
 
Mkuu mjepo,kama ccm isingekodi wasanii wa bongo movie,commedians,kubeba vikongwe kwenye malori na kuandaa ubwabwa wa bwerere,uwanja ungekuwa na kina nani?
 
Watu wanamshangilia kweli kweli, kweli kikwete ni mtu wa watu
 
jk ameshateremka kwenye gari sasa anatembe sehemu mbali mbali kusalimu wanaccm na wananchi waliopo uwanjani ni shangwe kila kona ya uwanja.
 
Mkuu mjepo,kama ccm isingekodi wasanii wa bongo movie,commedians,kubeba vikongwe kwenye malori na kuandaa ubwabwa wa bwerere,uwanja ungekuwa na kina nani?
Kuna taarifa kuwa sugu amezimia mkuu, hebu fuatilia hilo utujuze
 
Hakika ningekuwa MBEYA ningehudhuria, inafurahisha sana, wazalendo wamekusanyika kwa furaha.
 
sasa anaingia jukwaa kuu ameketi kwenye kiti alichoandaliwa baada ya kusalimiana na kinana na wengine waliopo hapa uwanjani.
 
Back
Top Bottom