mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
- Thread starter
- #21
ccm imedoda!!! hiki chama lazima kife mwaka huu,hongera lowassa kwa kuliona hilo na kuamua kufanya harakati kivyakovyako!!!
mawazo yako nadhani unakiwazia chadema siyo ccm chama chenye kujali na kuheshimu watu hakiwezi kufa kirahisi chama cha kilaghai kama chadema ndicho kitakachokufa mapema mwaka huu.