PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Sasa anaongea nape na anasema kazi ya ccm iliyobaki ni kutafsiri uchumi kutoka kwenye makatatasi kwenda uhalisia
teh teh, ni kweli mkuu, ccm ni cha wanyonge kama kina wasira, chenge, riz , jk, lowasa, Aziz na hata kina nepi!Ccm ni chama cha watu chama cha wanyonge na wapenda amani
huo uchumi wameshindwa kuutafsiri kwa zaidi ya miaka 52 ndio wataweza kwa mwaka mmoja uliobaki?
au anadhani watanganyika tumelala usingizi wa pono?
waache kujidnganya na siasa zao za maji taka.
kidumu chama lakini umaskini uendelee na wachache wafaidi ndio jadi yao
kwa hiyo sehemu ambako sio ngome yao hawawezi kufanya maadhimisho? Kweli ccm imechoka kuongoza tanganyika!Mbeya ni Ngome ya CCM ndo maana Maadhimisho yamefanyikia Mbeya..Nape!:mod: ccma kauli mbiu yao ni kutafsiri ukuaji wa kiuchumi! eti vijana wajanja wapo CCM?
watu wamewafuata wasanii na si kingine hata kidogo!wakuu kumbe mbeya taarabu waicheza kwelikweli nilijua iko miko ya pwani tu uwanja umelipuka sasa kila mtu anakata chake alichopewa na mungu watu kila lona ya uwanja ni kijani na njano juu chini nyeusi kila unapogeukia watu ni ccm chama cha watanzania ngona inazidi kunoga safi sana hadija safi ccm.