Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaani miaka yote 37 CCM tangu izaliwe na Kupewa jukumu la kuiongoza nchi UCHUMI walikuwa wameuweka kwenya makaratasi na sasa ndio wanauweka kwa vitendo, Duh! kweli ndio maana wametufikisha hapa tulipo STU-PID kabisa.
Hoja ya Mgeja jana hii......kumbe anasikiliza saa nyingine ....
 
Hatimaye mzee lowasa anasimama kuwananga wabaya wake,inahusu...!
 
wee zero kabsa...bei za vyakula ziko hvyo nchi nzima? au ccm inatawala mbeya tu?

wewe mburula kweli chakula gani kipo juu kwa sasa acha wehu wa kukimbia huku umeangalia nyumba kwa nini usipalamia visiki.
 
Si ndo kawaida, kama vile watu wanapojaa kuja kuona chops babuu, huwa wanaiona kwenye Tv pekee yake na juu ikipita. Basi ni hayo tu.
La msingi tunataka kumsikiliza mheshimiwa JK akinena chochote.hili ndo la msingi tunalosubiri. Nyie kalieni majungu tu kisha sisi tunasonga.
 
Jaman sasa binti mwenye bikira akipanda hili gari bikira si inatoka?! ccm watafutieni mabac bwana ruzuku inafanya kazi gani!?
 
yule naibu waziri aliyewaita wananchi wa mbeya mbwa yupo hapo uwanjani?
 
Bila kuwaita hawa watu hawaji na wasanii wa bongoflava

fx5p.jpg

Ndiyo uamini kuwa ccm inaungwa mkono na watu wa tabaka lote jitambue.
 
Zambi anasema watoto wakilia mzazi unachapa kazi kumletea mkate, ccm ni mzazi, chadema na wapinzani wote ni watoto

mzaz anayekopa ili mtoto adaiwe yeye...? muulize deni linalokua kila uchwao atalipa baba au mtoto?
 
Si mda jakaya kikwete, mtoto wa kiumeni atahutubia
 
Jaman sasa binti mwenye bikira akipanda hili gari bikira si inatoka?! ccm watafutieni mabac bwana ruzuku inafanya kazi gani!?

bavicha kweli hakuna akili hayo ndiyo unawaza tu hiyo bikra ni yako?
 
Wakati wa gwaride na halaiki kutoka kwa vijana wazalendo wa chama cha mapinduzi.
 
mzaz anayekopa ili mtoto adaiwe yeye...? muulize deni linalokua kila uchwao atalipa baba au mtoto?

deni lipi alilokopa dr slaa ndani ya chadema akagoma kulipa au lile alilokopa lema.
 
Kwenye hafla kama hizi ndio utajua CCM ina wapenzi wengi, Mbeya Leo hapatoshi. Kuna Jamaa yangu kanipigia simu akanieleza hali halisi. SUGU alipata ubunge kwa bahati mbaya tu.
 
Halaiki ya vijana wa ccm wanapita mbele ya mwenyekiti na kutoa heshima kwake.
 
deni lipi alilokopa dr slaa ndani ya chadema akagoma kulipa au lile alilokopa lema.
wee ndo hata ujielewi....tunazungumzia public debt sio personal debt....kweli kuwa mwanaccm inabd kuwa chizi kwanza
 
Vijana wanaonyesha umahiri wa hali ya juu, huwezi kufananisha na wale vijana wanywa viroba wa CHADEMA, hawawezi gwaride wale.
 
Hakika ningekuwa MBEYA ningehudhuria, inafurahisha sana, wazalendo wamekusanyika kwa furaha.

Ila huyu hana furaha kwa jinsi CCM ilivyoyafanya maisha ya familia yake yawe hohehahe
ImageUploadedByJamiiForums1391341871.932301.jpg
 
Namwona mkuu mjepo anaangaika na ki mchina chake nacho kinamzingua ngoja nimsogelee nimwazime ka hp kangu alete updates za uhakika kwa faida ya watz walio nje ya mbeya.lkn pia natambua kuwa kazi yake si bure lazima adake japo buk 14(7*2) ukizingatia ameachiwa kichanga cha miezi 10 na demu wake wa mbarali aitwaye atupakisye!
 
Kwenye hafla kama hizi ndio utajua CCM ina wapenzi wengi, Mbeya Leo hapatoshi. Kuna Jamaa yangu kanipigia simu akanieleza hali halisi. SUGU alipata ubunge kwa bahati mbaya tu.

kabisa kabisa mkuu ccm ni chama cha wote siyo kundi fulani la watu kama chama cha mbowe.
 
Back
Top Bottom