MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Wasanii wa filamu wanajiunga na CCM.
Usishangae kaka haya ndo mambo yao haya
Bendera y chama chenu ina rangi ya jenezaKwa mshahara gani au ndio pesa za Manji? Nape ni tapeli na Fisadi Zitto
Ayaa!!Mwigulu anasema -Mtaji wa kisiasa wa CCM ni mafanikio ya watanzania, mtaji wa CHADEMA ni umaskini wa watanzania, anasema CHADEMA wanajifanya wazalendo lakini kwenye maandamano watoto wao hawaji, matokeo yake watoto wa watu wengine ndio wanakufa. Kanichekesha sana aliposema bendera ya CHADEMA imefanana na SANDA.
View attachment 136643View attachment 136644View attachment 136645View attachment 136646View attachment 136647
Mwisho picha dokii lazima atoke na le profesaaaaa
View attachment 136648
View attachment 136643View attachment 136644View attachment 136645View attachment 136646View attachment 136647
Mwisho picha dokii lazima atoke na le profesaaaaa
View attachment 136648
Ayaa!!
Mimi nilidhani wapo hapo kueleza ni nini chama chao kimewafanyia watanzania toka kuanzishwa, kumbe wapo kuzungumzia CHADEMA...
Kuna wanachama wapya wanakabidhiwa kadi hapa na mgeni rasmi sio mda mrefu
Mwigulu kama house girl, kutoa Siri za mwenye nyumba kupeleka kwa jirani na za jirani kuleta kwa mwajiri wake.Mwigulu anasema -Mtaji wa kisiasa wa CCM ni mafanikio ya watanzania, mtaji wa CHADEMA ni umaskini wa watanzania, anasema CHADEMA wanajifanya wazalendo lakini kwenye maandamano watoto wao hawaji, matokeo yake watoto wa watu wengine ndio wanakufa. Kanichekesha sana aliposema bendera ya CHADEMA imefanana na SANDA.
Bila kuwaita hawa watu hawaji na wasanii wa bongoflava
![]()