Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
Kwaheri CCM..
Watu hawana muitikio tena mpaka wasombwe na malori. Hili lichama limechoka kwelikweli.
Rest in peace chademaKwaheri CCM..
chakula gani bei juu mkuu soko matola mchele unapata mpaka 1000 kilo kyela ndiyo kabisa tafiti kabla ya kusema jambo utachekwa.
Sasa anaongea nape na anasema kazi ya ccm iliyobaki ni kutafsiri uchumi kutoka kwenye makatatasi kwenda uhalisia
Wakuu mnaoisemea ccm jukwaani,hivi mwaweza kutwambia gharama za maandalizi ya sherehe za kikongwe wenu(maana chama chenu mnakiita kikongwe)? Lakini,mwaweza kutwambia kuhusu deni la taifa lilikofikia? Itv,sahara media group ltd,tbc,clouds entertainment,radio tumaini,wapo radio nk.mmeshawalipa zaidi ya milioni mia hamsini wanazowadai?
Picha.
Wakuu chama cha watanzania leo kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mjini mbeya kwa sasa burudani zinaendelea.
mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais na mwenyekiti wa ccm taifa mh jakaya mrisho kikwete.
viongozi wengene wa kitaifa wa ccm pia wamefika akiwemo ndg nape,kinana ambaye pia ndiye katibu mkuu wa ccm taifa mwanasiasa mwenye huruma sana na watu mwenye kujishusha siku zote kwenye kazi zake.
sherehe hizi pia zinaadhimishwa kote nchini kwa mikoa yote kwa namna tofauti tofauti.