nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
mkuu nilichofanya ni kumsifu jk kwa kuchochea kuni kavu badala ya mbichi, sijui nani ataibuka kesho, lowasa kazi anayo!Mkuu naona unachochea kuni
mkuu nilichofanya ni kumsifu jk kwa kuchochea kuni kavu badala ya mbichi, sijui nani ataibuka kesho, lowasa kazi anayo!Mkuu naona unachochea kuni
wacha wagawane, na jk amekuwa upande wa makonda!Nimeonaa watu wanagawana Tshirts za friends of Lowassa Bagamoyo
naomba mkumbushe ahadi yake ya kupeleka umeme songea toka makambako kwenda songea, wanasongea hawajasahau, pia kupeleka meli ziwa nyasa, pia maisha bora kwa kila mtanzania bado, umeme na barabara vijijini hazipitiki!Tusimamie utekelezaji wa ilani
kama ningekuwa bavicha ningekutukana chadema wanaleta watu hata kutoka nje ya mkoa wa mbeya halafu leo unaongea vitu vyepesi bila ushahidi nimekosa pakutokea watu ni wengi ningekuja kukupa za uso hapo ulipo.
Jk ni jembe kinoma
mkuu usisahau kumwambia jk, kuwa wanafunzi waliofeli kidato cha pili wamepelekwa kidato cha 3, je hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania aliyowahaidi watanzania?Mbeya ina shule kibao hivi sasa, vyuo vikuu pia
kuna miradi 12 ya umeme inayaendelea kote nchini kumbuka hilo.