Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Taarifa rasmi kutoka kwa watu rasmi ni kuwa ili kujaza uwanja ccm imewaghalim kusomba watu kutoka kila wilaya na kila eneo la mkoa wa mbeya. Bodaboda 200 waliahidiwa 20000 kila m1 na wamekuja mia na kidogo na wamepewa elfu 10 kila m1 na wameshindishwa juani toka asubuhi. Bodaboda wa 4 wamevunjika miguu baada ya kupata ajali walipokuwa kwenye msafara wa kiwete! Bodaboda wanailaani ccm kwa kuwadanganya na kama wanaweza wafanye mkutano bila kusomba watu waone muziki! OPD kiboko yao!
 
Angalia upande unaotazamana (Kushoto kwa Geti kuu la uwanja) na Jukwaa kuu na upande wa kulia mwa Jukwaa kuu.Kama kweli upouwanjani,utayaonahaya na kama unaangalia TV hutaona.
Hakuna Mapengo?
Umewahiona mikutano ya CHADEMA Mbeya ikiwa na COASTER na malori ya kubebea watu?Mikutano ya CCM haya hayapo?Toka nje uone.Nje nyuma ya jukwaa kuu.
Kama haya ninayosema hujayaona,basi wewe haupo Uwanjani.

kama ningekuwa bavicha ningekutukana chadema wanaleta watu hata kutoka nje ya mkoa wa mbeya halafu leo unaongea vitu vyepesi bila ushahidi nimekosa pakutokea watu ni wengi ningekuja kukupa za uso hapo ulipo.
 
Bongo movie tele hapa Leo

Halafu libwanyenye lilipigiwa simu jana li confirm lilivyopewa ticket kwenda kuonyesha tumbotumbo lake in the name of bongo movie likasema halijui chochote kuhusiana na safari hiyo na kwamba liko location linashoot movie!

Woga wa nini kama una uhakika na unachokwenda kufanya? Bongo movie haijaenda mbeya ila jb na walafi wenzie na kama bongo movie itathibitisha imeudhulia tutaichukulia ni ya ccm na si ya watanzania wenye itikadi tofauti
 
Ninaandika uzi huu kwa majonzi mazito!
Nawalilia watanzania wenzangu wanaoendelea kukaa gizani huku maisha magumu yakiwabana kwa sababu ya kukosa umeme!
Ni ajabu lkn ni kweli,nchi hii hiko taabani.
Wakubwa wa nchi(chama na serikali),wote wamejazana jijini mbeya wakibugia vinono ktk maadhimisho ya chama chetu ccm kutimiza miaka 37.
Jamani viongozi wetu wa chama na serikali,toeni tamko kali la kulaani pepo la giza litoweke ili tupate umeme wa uhakika kwa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuendelea 'kutongozwa' na prof.muhongo kwa uongo usiokoma,la sivyo iacheni nchi lowasa aishughulikie si mnamjua ndiye pekee anayeiweza chadema?
 
jk sasa anaanza kuzungumza karibuni tusikie toka kwake.
 
Toa kwanza blanketi la CHADEMA machoni ndipo utanielewa, Bila CCM hii nchi isingefika kwenye maendeleo haya tuliyonayo sasa.
MSALANI isingefika hapa !!! Hahaa

Ni maendeleo gani unazungumzia?

Matatizo ya tangu tumepata uhuru na kuzaliwa CCM yapo mpaka leo..

Unaifananisha Tanzania na Nchi gani kimaendeleo?
 
Last edited by a moderator:
Anawapongeza watu wa mbeya kwa ukarimu wao kwa mandalizi na mapokezi makubwa waliyompa.
 
MSALANI isingefika hapa !!! Hahaa

Ni maendeleo gani unazungumzia?

Matatizo ya tangu tumepata uhuru na kuzaliwa CCM yapo mpaka leo..

Unaifananisha Tanzania na Nchi gani kimaendeleo?

yepi yataje acha porojo.
 
Vyama vingi vilianzishwa lakini havijafika mbali
 
Hivi wewe unafikilia kwa kutumia makalio, unamuita kinana mtu mwema, tembo wetu wanaisha kwa ujangili wake, huruma gani hizo, huoni haya kuita ccm chama cha watanzania, hiki ni chama cha cha majangili, mafisadi, wauaji, watekaji, watesaji, wabakaji, watoboa macho, wang'oa meno bila ganzi, wang'oa kucha, wauza madawa ya kulevya, wabakaji wa demokrasia nk. Wananchi tunaumia maisha yapo juu, deni la taifa linaongezeka, wao wanasherekea nini, hizo gharama za kukodi wasanii, kusomba watu kwa maloli, kwa nini msitumie kupeleka huduma kwa jamii, ulieleta maada hii mwehu kabisa wewe, kwa taarifa yako ccm ishakufa, wewe endelea kujitoa ufahamu, njaa inakusumbua sana.
 
Ccm ipo, itakuwepo na itadumu daima, waliotuombea mabaya sasa wanahangaika kujinusuru, sii hatuwaombei mabaya,
 
jk bado tunaamani na upendo nchini.

ccm bado inabaki kuwa chama kikubwa na chenye kuaminiwa sana na watanzania.

tunavifahamu vyama vilivyoanza kwa kelele kubwa lakini sasa havipo.

wanaotaka ccm ife lazima watakufa wao kwanza.
 
Ccm tuendelee kujijenga, kujiimarisha na kuwafikia wananchi vijijini
 
Back
Top Bottom