Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda


Hawa jamaa sasa watawaua CCM kwa kihoro kabla ya muda. Mkakati huu wa kuwatanguliza maCCM kwa baiskeli ya mbao, dah!

Jionee mwenyewe


 

Attachments

  • IMG-20150723-WA0002.jpg
    IMG-20150723-WA0002.jpg
    60.1 KB · Views: 9,699
  • IMG-20150723-WA0004.jpg
    IMG-20150723-WA0004.jpg
    82.4 KB · Views: 9,571
Ningependa bungeni awepo Ester Bulaya ,Ester Matiku,Paulin Gekuli,Cecilia Pareso,Halima Mdee,Susan Kiwanga,Sakaya na Susan Lyimo hapo utapata mchango yenye afya na manufaa.
 
Mkiti wa Mkoa wa Mara CHADEMA, Vincent Nyerere
 

Attachments

  • IMG-20150723-WA0019.jpg
    IMG-20150723-WA0019.jpg
    73.1 KB · Views: 7,689
"Wakati wa Nyerere yupo, wakati wa Mwinyi yupo, wakati wa Mkapa yuuupo na wakati wa Kikwete YUPOOOO, na sasa Kikwete anaondoka Wasira bado anataka kumsindikiza ili yeye aendelee kuweeeepoooo!!! teh teh teh.....hana jipya huyuuu tena". Hayo yalikuwa ni maneno ya Mh. Makongoro Nyerere mtoto wa baba wa Taifa wakati wa kutangaza nia.

Ester huna haja ya kupiga kampeni tena ila omba hotuba ile fupi ya Makongoro na iweke kwenye flash au CD yako kisha endelea kuicheza kwenye ufunguzi wa mikutano yako yooote ya kampeni za ubunge utakuwa umemaliza kazi na kummaliza mzee Wasira kiulainiiiii.
 
Back
Top Bottom