Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Ni makamuzi tu...Asante Bulaya. Umeonesha mfano wa kuigwa kwa vijana na wanawake nchini. Kuwa kwenye timu sahihi inayoendana na uwezo wako.

0
 
Kama namwona nape vile akilegeza kamba za viatu kwa jinsi vinavyo mbana.....
 
Upendo. Wapiganaji hupendana namna hii. Si maCCM yanapigana hadi kutaka kutoana roho. Kikwete aliwahi kusema hawaaminiami kabisa wanaweza hata kuwekeana sumu...

0
 
Back
Top Bottom