Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Bunda mtawapelekea bendera lini? naona mkutano mzima bendera moja tu, nahiyo watakuwa wameitoa kwenye gari ya Mdee. kweli Bulaya wana chadema bunda wanakukubali hadi wakasahau bendera nyumbani wakiwahi mkutano wako.
 
Natamani tu kumwona Wasira popote alipo ili kuona uvumilivu wake ktk kipindi hiki kigumu kwake..........
 
Muda si mfefu gwanda litakuwa vazi la Taifa. Tujivunie Utanzania. kijani itabakia Jangwani
 
Hahahaha mkuu mapanya buku ya Lumumba yataenea kkweli humo shimoni maana yana mavitambi ya ufisadi.

Tutaongeza urefu wa shimo hadi yatoshe, yale 11 yameshaenea, mengine mabulaya lembeli ndo yanaishiria shimoni, bado tibaijuka yakikatwa nayo tunayatumbukiza humo.
 
Hahahaha mkuu mapanya buku ya Lumumba yataenea kkweli humo shimoni maana yana mavitambi ya ufisadi.

haya mapanya majanja yamechimba andaki kubwa lumumba.Dawa ikianza yanajificha ikiisha yanarudi.Mapanyaaa mapanyaaa lumumba kunawaka moto
 
Wana JF ambao mko Bunda tunaomba kupata updates za mapokezi ya Kiungo Mshambuliaji Ester B pacha wa Halima Mdee huko Bunda kwa wenye taarifa watupatie Pia habari Kangi Lugola.
========

Ester umefanya jambo la muhimu sana katika maisha yako kwa kujitenga na kundi la ngedere!
 
Warudi tu mchango wao umekua wa muhimu sana kwa taifa. Tungepata kama hao thelathini aisee.

mh. halima mdee,ester bulaya na hata ester matiko wamewawakilisha vyema sana wanawake bungeni. kina mama na kina dada tembeeni kifua mbele..
 
Kuitwa panya mchezo!!!! usishangae makomeo nae akabwaga manyanga akatia timu kwa makamanda.
 
Paulo anasema tokeni katikati yao mkatengwe nao . kweli Ester na Lembeli mmetimiza maandiko ya kujitenga na wauaji na watesaji massm . hongereni sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom