Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Wote hawawezi kurudi na kule kawe mako ameenda kummaliza mdee kisiasa labda atafute pakukimbilia huyo dada
 
Ester Bulaya jukuwani...
 

Attachments

  • 1437663056972.jpg
    1437663056972.jpg
    46.8 KB · Views: 1,616
Mzee wa kusinzia tumbo limejaa gesi muda huu.
 
Pamoja..tupo tunamtafuta mgombea ARUSHA MJINI...BUT LEMA ATOSHA.
 
Kamanda Halima Mdee Katibu Mkuu bawacha akisema na wanaBunda.
 

Attachments

  • 1437663185990.jpg
    1437663185990.jpg
    48.1 KB · Views: 1,281
Katibu Mkuu bawacha jukuwani muda huu!!.
 

Attachments

  • 1437663289810.jpg
    1437663289810.jpg
    59.4 KB · Views: 1,223
Mkuu, mbona hayo mabango yanasema TUNATAKA MKUTANO? Ni mkutano upi huo? CHADEMA kwa kuchakachua! Yaani mnachakachua mpaka na picha?
 
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mara kamanda Vincent Nyerere akiwa jukuwani kumtambulisha Kamanda Ester Bulaya kwa wanainchi wa Bunda mjini.
 

Attachments

  • 1437663344700.jpg
    1437663344700.jpg
    44.3 KB · Views: 1,064
Wanainchi na wakazi wa Bunda waliofika kuwasikiza viongozi wa Chadema taifa,
 

Attachments

  • 1437663482753.jpg
    1437663482753.jpg
    71.9 KB · Views: 1,023
hawa niwanawake bora kabisa katika siasa za tanzania pia ni wawakilishi wa kweli katika kuwakilisha wanawake wa tanzania!!
Kweli kabisa walikua vizuri sana kuliko wanawake wengine. Walijitahidi I wish warudi tena bungeni hope watarudi
 
Back
Top Bottom