Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Mwaka huu magamba wataula wa chuya hakuna goli la mkono wala la nn Cdm mwendo mdundo hadi hadi October watakufa presha
 
Wapigwe tu hao CCM maana hamna namna sasa.

Na kweli jamaa wanawashughulikia, dah hadi huruma. Wapigwe tu waondoke sasa maana tumechoka sasa utawala huu...

James Lembeli akiwa kazini...kuimaliza CCM.


attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20150723-WA0020.jpg
    IMG-20150723-WA0020.jpg
    67.8 KB · Views: 4,939
Nchi imekombolewa bila ujio wa Mafisadi.
 
Haya mambo yanatokea kwa kasi mno, yani jana kupewa kadi, leo kupokelewa jimboni na umati wote huu.. dah!! Japo bado sio muumini wa hizi shuffle zinazotokea.
 
Hadi raha..lazima nipigane sana hadi nipate kitambulisho changu cha kupigia kura..
Ccm jiandaeni kuwa chama cha upinzani
 
kwa usajili Wa lembeli na ester alafu ccm wakachukua mchezaji tuliemwacha arfi hapo ndio utajua chadema timu bora sasa bado makamanda wengine watakaoingia mjengoni ccm bye bye
 
Back
Top Bottom