Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Mbona kila siku Singida ?

Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali

Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Shirikisha kwanza akili kabla ya kutype. Anayepanga ratiba ni tume.
 
Binafsi naweza pata ujasiri iwapo tu, watakaotuambia tuingie barabarani waje wao, wake zao na watoto wao tuungane pamoja kudai haki ya kuibiwa kura.

Kinyume cha hapo wajinga waache waende
Mjinga ni yule ambaye hatasonga mbele. Kila mmoja ameubwa kwa hulka yake. Wenye hulka ya ujasiri tutasonga, wewe kaa nyumbani! Wachache ndio huleta mageuzi!
 
Binafsi naweza pata ujasiri iwapo tu, watakaotuambia tuingie barabarani waje wao, wake zao na watoto wao tuungane pamoja kudai haki ya kuibiwa kura.

Kinyume cha hapo wajinga waache waende
Umeandika kimasikini sana !
 
Vijana ni wengi sana. Huu ni mwisho wa udhalimu. Viongozi - TL, Maalim, Zitto - wajipange tu kuongoza wapenda mabadiliko. Freedon is coming tomorrow.... Nimeukumbuka huo wimbo. Dikteta akiona hivi halali usiku huu. Nguvu wa umma is a dictator's nightmare.
Zanzibar kumeshakucha tunamsubiri na Tundu Lissu aingie Dar tuweke mambo sawa

 
Abarikiwe TL. Tujitokeze kwa wingi Jumatano 28 Okt 2020 tumpigie TL kura zetu.

Sijasikia TL akieleza watu jinsi ya watu kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Mnataka aige kila analofanya Magufuli?
 
Kampeni zimeisha, tunasubiria sherehe za kumuapisha Rais Magufuli tu

Wiki ijayo
Askari Watanzania sasa wauona ukweli, tusubirie ya Kawe kwa GWAJIBOY alikoshirikiana na NEC kumzuia Halima Mdee asifanye Kampeni siku 7 za lala salama
lakini nguvu ya umma mtaiona Kawe hata mzuie kwa mikono itanyesha mafuriko
 
Haiwezekani kwenda majimbo yote ya Tanzania. Aliyeweka miezi 2 ya kampeni ameweka muda huo kwa manufaa ya CCM. CCM imehodhi vyombo vya habari. Hawa wengine haruhusiwi kutangazwa. Huu siyo mfumo wa uchaguzi. Ni mfumo wa kuhalalisha udhalimu wa CCM tu. Hakuna kingine. Uchaguzi huu, mawakala hawaruhusiwi kutoka na nakala ya matokeo ya uchaguzi! Jiulize, wakitoka na matokeo itamuumiza nani?
Mbona nimehudhuria mafunzo leo kipengere cha mawakala kuondoka na matokeo kipo?
Yaani nakala moja itabandikwa,kila wakala atapewa nakala yake,moja anapewa msimamizi wa uchagauzi na nyingine inabaki.
 
Asante ndugu. Tuliambiwa hapa na mjumbe mmoja kuwa mawakala hawataruhusiwa kuondoka na matokeo kituoni. Ndio na mimi nikashangaa.
Mbona nimehudhuria mafunzo leo kipengere cha mawakala kuondoka na matokeo kipo?
Yaani nakala moja itabandikwa,kila wakala atapewa nakala yake,moja anapewa msimamizi wa uchagauzi na nyingine inabaki.
 
Back
Top Bottom