Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Subpost 2 - Chemba Mpoooooooh..... ( 426 X 640 ).jpg
 
Unashangaa Lisu kuwa na tiketi? awamu hii kweli CCM imejaa wajinga!
Udanganyifu sii sawa ,alishalitolea ufafanuzi na wote hats kabla ya uongo huu,tunafahamu kwanini alienda nje na kwanini bado ataenda,mje na uongo mwingine.
 
Mama yangu ana 70 huko kijijini kabisa huko ambako Lissu alilazimika kwenda kwa mtumbwi. Naye anasema hivyo hivyo...
shaongea na wazee wangu kijijini miaka 50+ ya umaskini ulioletwa na sera laghai za ccm mwisho tarehe 28.

kwa mara ya kwanza wazee wamesema KURA KWA LISSU.
 
Tuombe wawe/tuwe na courage ya kupigwa risasi na kusonga mbele, wasiwasi wangu uko hapo? Tuna ujasiri huo?
Binafsi naweza pata ujasiri iwapo tu, watakaotuambia tuingie barabarani waje wao, wake zao na watoto wao tuungane pamoja kudai haki ya kuibiwa kura.

Kinyume cha hapo wajinga waache waende
 
Acha kujiaibisha Mkuu, tarehe 18 Disemba 2020 ndio siku tano baada ya uchaguzi? Naona sasahivi mnapiga propaganda tu baada ya udhibiti wa vituo hewa lukuki nchini.
Bro kumbe wamedhibitiwa ee? Zile taarifa tulizokuwa tunazisikia
 
Back
Top Bottom