everybody
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 337
- 103
RIP Sumari.
Hii picha kuna saa ilikuja humu jamvini halafu ikapotea, sijui iliondolewa kwa muda!!?
Embu tuifanyie tathmini kidogo,
1. Cheki huo mkono wa Lowasa alivyoutoa. Amempa Sitta vidole badala ya mkono. Inaonyesha ameutoa kwa shingo upande tu
2. Uso wa Lowasa sidhani kama anamwangalia Sitta usoni kama Sitta anavyomwangalia. Inaonyesha Lowasa anatamani huo mkono uachiwe aendelee na mishe zako.
3. Cheki pembeni kuna mzee wa udaku anajaribu kufuatilia tukio. Anajua kabisa kuna tension kati ya hawa wawili na macho yake ameyaelekeza jinsi mkono unavyotoka.
Duh, kuna kazi kwenye magamba mpaka ifike 2015...