Tujuze na tuletee picha zaidi, ninashawishika kama vile kulikuwa na zengwe jingi na wasiwasi wa usalama ukizingatia maeneo hayo yana kila dalili ya Upinzani. Wehu wa CCM sijui wanajifunza nini maana kwa sasa kwa kuwatenga wazee wakidanganywa na upepo wa CHADEMA ni uendawazimu hawatakaa wausahau utakapowadhihirishia ujinga wao. Ninawaheshimu viongozi wangu, ila hii homa ya CHADEMA ni aiubu kwelikweli kwa CCM inaonyesha jinsi gani walivyokosa ubunifu wameishiwa hata kutulia sembuse ubunifu wa mbinu za kisiasa? Mbaya zaidi hawana hata uratibu mzuri wa kauli kama tulivyozoea huko nyuma. Najua CCM ina Nguvu bado na ina uwezo wa kufanya mengi tu, ila kwa sasa ninaona mengi ya aibu tu, wana kila nafasi ya kufanya vema tena sana. Mfano sijui walikuwa na nia gani ila kuhudhuria mazinshi ya Rejia, that was stratergically good. Na hawakuzuiwa na mtu yeyote. sasa nina hamu ya kujua huko Meru kama uhuru ulikuwa vilevile kama kwa Rejia...
Mwenyekiti... usionee huruma mtu hataq kidogo, ukitoka acha harufu nzuri wakutafute kwa uzuri na acha jina zuri wakutafute kwa mema... ninajua una nia njema ingawa kwa bahati mbaya sana umejenga maadui weeengi, na unafanya vema kutokuwajadili. Toa kichapo Chairman, hichi chama hakiwezi kudhalilika hivihivi