Yaliyojiri kwenye mazishi ya Sumari

Yaliyojiri kwenye mazishi ya Sumari

Kijana nasari mbunge wetu wa chadex (chadema) alinyang'anywa matokeo kwasababu ni kijana mdogo tu. wazee watawalao vema na wastahili heshima lakini wasiojiheshimu aibu yao iwafuate waliko!
 
vijana wa ccm(green bregade) na chadema (bavita) wametunishiana mabavu kwenye msiba wa mzee jeremia sumari. Walikuwa wanagombania namna ya kujipanga kwa ajili ya kumpokea rais kikwete. Inasemekana chadema walikuwa mwanajiandaa kumuonesha alama ya vidole viwili rais kikwete (alama ya chadema) na ccm wakaogopa kuonekana wanazidiwa ujanja. Habari kamili mwananchi uk. 3.
 
Tumemsubiri sana JK Arusha baada ya mazishi, mpaka muda huu hatuamini kabisa kama anaweza akawa ameondoka mjini hapa bila hata ya salamu kwa Wana Arusha!
Mbona Morogoro alitembelea sehemu kadha, ikiwa ni pamoja na kuzindua madaraja akijiandaa kwenda kumzika mar.Regia?

Mh! Anaogopa Arusha maana kuna mabomu ya machozi na maji washawasha! Polisisiem wanaweza wakakosea step!
 
Back
Top Bottom