Tundu Lissu anatembelea Makaburi ya wale anaowaenzi , hana muda na Makaburi ya waliopanga Kumuua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Hii ndio Taarifa ya leo kwenda kwa Kasheku Musukuma na wengine wote wenye akili kama Yake, Mpaka muda huu Tundu Lissu kwenye ziara yake huko kanda ya ziwa, ametembelea na kuomba dua Maalum kwenye makaburi ya Magwiji wawili wa ukanda huo, Balozi Kasanga Tumbo kama mnavyoona pichani.

Screenshot_2023-08-11-16-37-23-1.jpg
Screenshot_2023-08-11-16-37-36-1.jpg


Na kaburi lingine alilotembelea ni la Alphonce Mawazo, ambaye aliuawa kikatili na watu wanaofahamika kama mnavyoona pichani.

JamiiForums1622533344_360x363.jpg


Tundu Lissu hana mpango wowote wa kutembelea kaburi la Magufuli ambaye amemtuhumu kwamba alituma watu wamuue.

Akihutubia Mkutano wa hadhara wiki iliyopita huko Chato Lissu bila kumung'unya maneno na huku akishangiliwa na wananchi alitamka wazi hadharani kwamba John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania alituma watu wamuue na akamwagiza Job Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge ahakikishe kwamba baada ya Lissu kuuawa Uchunguzi usifanyike na azikwe haraka kwao Ikungi.

Hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ilishaandaliwa na Bunge (Habari za mkutano huu wa Lissu zimo humu jf).

Kwa namna yoyote ile hakuna mtu awezaye kutembelea kaburi la mtu katiri kama huyu aliyetaka kumuua (Shetani hana rafiki).

Tukiacha watu kama Musukuma waendelee kupotosha umma ili kutafuta kiki tutakuwa wajinga sana, ni lazima wajibiwe kwa kauli ambayo itawafanya Wanyamaze milele.

Naomba Kuwasilisha
 
Hii ndio Taarifa ya leo kwenda kwa Kasheku Musukuma na wengine wote wenye akili kama Yake , Mpaka muda huu Tundu Lissu kwenye ziara yake huko kanda ya ziwa , ametembelea na kuomba dua Maalum kwenye makaburi ya Magwiji wawili wa ukanda huo , Balozi Kasanga Tumbo kama mnavyoona pichani

View attachment 2714585View attachment 2714586

Na kaburi lingine alilotembelea ni la Alphonce Mawazo , ambaye aliuawa kikatili na watu wanaofahamika kama mnavyoona pichani

View attachment 2714589

Tundu Lissu hana mpango wowote wa kutembelea kaburi la Magufuli ambaye amemtuhumu kwamba alituma watu wamuue .

Akihutubia Mkutano wa hadhara wiki iliyopita huko Chato Lissu bila kumung'unya maneno , na huku akishangiliwa na wananchi alitamka wazi hadharani kwamba John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania alituma watu wamuue na akamwagiza Job Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge ahakikishe kwamba baada ya Lissu kuuawa Uchunguzi usifanyike na azikwe haraka kwao Ikungi , Hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ilishaandaliwa na Bunge (Habari za mkutano huu wa Lissu umo humu jf)

Kwa namna yoyote ile hakuna mtu awezaye kutembelea kaburi la mtu katiri kama huyu aliyetaka kumuua (Shetani hana rafiki)

Tukiacha watu kama Musukuma waendelee kupotosha umma ili kutafuta kiki tutakuwa wajinga sana , ni lazima wajibiwe kwa kauli ambayo itawafanya Wanyamaze milele .

Naomba Kuwasilisha
Hapa sitii neno maana cna neno ila ngoja majibu ntayaona kweny comments
 
Haitakaa itokee LISSU aende kwenye kabuli la dikteta uchwala noooooo
Dikteta uchwala aliyemuonyesha udikteta halisi..
1. Kala risasi za kutosha.
2. Kaondoshwa nchini kwenda kuishi ugenini.
3. Kazuiwa kufanya harakati za kisiasa.
4. Kazuiwa kufanya kazi zake za uwakili.
5. Kaachiwa ulemavu wa kudumu na risasi ya kudumu kwenye uti wa mgongo.

Mdomo uliuponza mwili.
 
Back
Top Bottom