Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,017
- 221,622
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
========
Wananchi wa Kata ya Puge jimbo la Nzega Vijijini wasimamisha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Msafara wa Mhe. Lissu unaelekea Urambo na Tabora mjini kuendelea ratiba zake za mikutano ya kampeni leo Oktoba 16, 2020.