Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
1,311
285
Habari zenu wapendwa!


Hakika leo ni siku ya furaha kubwa kutokana na kukumbuka siku nchi yetu ya TANGANYIKA ilipopata uhuru kamili.


Pamoja na Uhuru huo bado Nchi yenyewe imejaa simanzi kutokana na wananchi wake kutofaidi MATUNDA ya nchi yao na kuendelea kuwaangalia WACHACHE ambao ni watawala wakijinufaisha na RASIRIMALI za nchi.

Nipo ndani ya Ukumbi na MAANDALIZI yakiendelea huku VIJANA na Wapenzi mbali mbali wa NCHI yao WAKIMIMINIKA.




 
Zitto ndo zilikuwaga sem zake hizi kuja kuchana.ila nows Nzagamba imehasiwa na kuwa Maskasai na CCM wanamtia joki kama kawa
 

Npo ukumbini vijana wanaendelea kuingia kwa wingi kabisa
 
Zitto ndo zilikuwaga sem zake hizi kuja kuchana.ila nows Nzagamba imehasiwa na kuwa Maskasai na CCM wanamtia joki kama kawa

Mapambano yanaendelea, kumjadili mtu badala ya MUSTAKABALI wa Nchi yetu na Maisha ya WANANCHI yaliyojaa HADHA kubwa ya UMASIKINI ni KUJIKOMOA wenyewe!
 
...

....pamoja sana wapiganaji ...

...Tuko mbali ...ila JF inatuunganisha....
 
Tuko hapa ubungo landmark kwenye kongamano la miaka 52 ya uhuru watu ni wengi na tutakuwa live kwa update. Mambo muhimu (1)mgeni rasmi mh! Freeman Mbowe,(2) watoa mada mh! JJ Mnyika mh! Tundu Lissu, Kitila Mkumbo, Mabele Marando (3) uzinduzi wa albam ya nyimbo za chama (CHADEMA) za Lilian Wasira
 
Mimi pia nipo ndani ya landmark naona Makamanda wanafuraha Wanaimba nyimbo za kuikanda masisiemu
 

...

.....Chadema tunaposema ni Chama MAKINI huwa hatutanii......

Copy Kamanda!!!
 
Mapambano yanaendelea, kumjadili mtu badala ya MUSTAKABALI wa Nchi yetu na Maisha ya WANANCHI yaliyojaa HADHA kubwa ya UMASIKINI ni KUJIKOMOA wenyewe!

wote wanaomfuata zito wangekuwa na akili kama zako tungekuwa mbali kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…