Augustine,
Hold your shirt. Shivji is a Marxist. Unlike Kinguge he has not changed his colours.
Kazi kubwa ambayo Profesa Shivji na Jenerali Ulimwengu wameifanya leo imetibuliwa na wao wote wawili kuiunga mkono Tume batili ya JK kwa hali yoyote ile.....................JK hana mamlaka ya klsheria ya kutuundia Tume hivyo wanazuoni hawa walichemsha sana waliposema hawaoni kuwa ina matatizo ila tatizo ni muundo wake, hadidu za rejea na itapeleka wapi taarifa yao...................................
Tatizo la katiba iliyopo ni ushirikishwaji sasa hii Tume ya Raisi itakuwa imechaguliwa kwa vigezo vipi wakati upatikanaji wake haukutoa nafasi na fursa sawa kwa raia wote kushiriki katika kuziomba nafasi hizo?
Itakuwaje Tume ambayo haikupatikana kwa misingi ya kiutu tuitegemee iende kutujengea misingi ya kiutu?
Utaratibu ufaao ni Bunge kutunga sheria ya kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya...................Tume ya wataalamu ya kuratibu zoezi hilo iwepo lakini ipatikane kwa Bunge kuzitangaza nafasi na sifa zake kwenye magazeti ili kutoa fursa sawa ya raia wote wenye sifa kuziomba...............................na kamati maalumu ya Bunge ichuje na kuteua wastahiki ambao watapigiwa kura Bungeni na wakipitishwa basi Raisi ndiyo awateue.....................................Bila kutoa fursa sawa kwa wote usitegemee hiyo itakuwa ni katiba mpya.....................la hasha.
Mawazo mengine ya namna ya kuuunda Mkutano mkuu ninayauinga mkono kuwa wajumbe wake wachaguliwe moja kwa moja kupitia majimbo ya uchaguzi yaliyopo na wabunge au watumishi serikalini wasishiri kwenye Mkutano huo wa kikatiba.............................

Hivi Viki Kamata atachangia nini kuhusu katiba? Vikuku miguuni wapi na wapi
Mzee Kaduma katoa challenge kwa vijana kusoma sana ili tuwe na uelewa mkubwa na hiyo itaturahisishia katika uandishi wa katiba mpya!!