Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

HALMASHAURI KUU ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeteua wagombea kutoka majimbo mbali mbali 264 kwa ajili ya kuwania nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kati ya wagombea 264, 214 wanatokea Tanzania wakati wengine 50 ni wale wanaowania majimbo yaliyopo Zanzibar.

Hata hivyo mchakato mzima umeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakongwe na maarufu wakiwekwa pembeni na chama hicho kongwe nchini ikiwa ni pamoja na baadhi ya Mawaziri na waliokuwa wabunge miaka ya nyuma.

Kwenye mchakato mzima, zaidi ya majina 11, 153 yalichakatwa na Leo mchana Chama hicho kilitoa majina yam wisho ya watakaowakilisha Chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Majina ya walioteuliwa na chama hicho ni;

1. ARUSHA
Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha

2. DAR
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo

3. DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawen
Mpwapwa- George Nataly Malima

4. GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang'alwe- Hussein Amar

5. IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga mji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile

6. KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo

7. KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso

8. KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
Kigoma Mjini- Kirumbe Shabani Ng'enda
Kigoma Kaskazini- Asa Nelson Makanika
Kigoma Kusini- Nashon William
Kasulu vijijini- Augustine Hole

9. KILIMANJARO
Vunjo- Charls Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne Kilango Malecela
Same Magharibi- Dr. Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- Priscus Tarimo
Mwanga- Anania Tadayo

10. LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa

11. MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulu mji- Isai Paulo
Mbulu vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

12. MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki
Tarime Vijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi

13. MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbalali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona

14. MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro mjini- AbdulAziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Lazaro Londo
Kilosa- Prof. Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham

15. MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil David Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

16. MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo James
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura KiswagaView attachment 1543822
Na vipi mkoa wa Pwani na mingineyo?
 
Mwenye CV yake atuletee humu jukwaani wakuu
IMG_3683.JPG
 
Utajua ni wapi hapo baadae.......
Unazingua nijue kwani sipajui. Kiufupi nimeingia Arusha hapo Ilboru advance na mpaka saivi kazi naifanyia Arusha so najua kuliko unavyowaza mkuu. Ama kwa ile tabia yenu ya kugongea pombe ama nijue nini zaidi. Ama madharau ya waarusha kuwa huyu simsalimii wakati alikuwa amepanga hapa kwetu muda huo MTU anapita na usafiri wake wa maana
 
Back
Top Bottom